Ila kikowa cha wapuuzi kina burudani za kipekee sana! Kwa ufinyu wa akili wamejikuta wamekusanyana na kula matapishi yao wenyewe!
Walisema akili ndogo hujadili watu! Very well said. Japo kiingereza kilikuwa kimelemewa.. Hiyo tuachane nayo
Sasa baada ya kukusanyana wamegeukia kumjadili mtoa mada.. š matapishi haya wameyamba..
SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE
Nimeweka link za kubalance story wakaruka nayo! Si kwa kuijadili bali kumjadili mtoa mada
Nimeendelea kuweka link zaidi kuonesha wengine wanawaza nini kuhusiana na sakata zima
Wiki iloyopita na hii task force za TRA zinapita kwenye biasharq mbalimbali kufanya ukaguzi
Utajiri na kumiliki mali ni jambo jema na wengi wanalitamani.. Lakini utajiri halisi ni ule ulio hai na endelevu
Mimi kumuita mhusika tajiri wa mchongo sikumaanisha kumuonea wivu la hasha kwakuwa utajiri wake ni wa magumashi na sio endelevu
Zaidi ya maisha ya mitandaoni na kuonesha nagari ya "gharama" sijawahi kumuona akionesha biashara yoyote halali ama uwekezaji endelevu wenye kutoa ajira, vipato na kulipa kodi za serikali.. Vitu vya kupost mitandaoni na kujisifia utajiri hicho ndio tunakiita utajiri wa mchongo
Bahati mbaya sana kina wapuuzi wenye akili finyu kama matako ya bata wanamuona mhusika kama role model sao
PESA HAITAKI KELELE na MAFANIKIO HAYATANGAZWI bali hujitangaza
Tuna matajiri wengi vijana lakini hawana kelele kabisa mitandaoni kwakuwa huo muda hawana. Hawa wamewekeza kwenye
Teknolojia
Viwanda
Ardhi (kilimo)
Uvuvi
Sekta za fedha
Sekta za usafiri
Real estates
Nknk
Hawa unawaona kabisa utajiri wao ukiwa hai endelevu na wenye tija kwa jamii na taifa
Tuko JF tukijulikana kama GREAT THINKERS hivyo tutumie medulla zetu vizuri kusoma vitu na kuvielewa
Kama ukisoma kitu hujakielewa na kukimbilia kumshambulia mtoa mada ama kumjadili wewe ni mpuuzi fulani tu na GREAT SINKER!