BAOBAO
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,874
- 557
Hongera, endelea na imani mkuu ni jambo jema kurudisha shukrani na kutoa ushuhuda kama ulivyofanya wewe[/QUOT Mkuu,nasema " AMEN "

Nani kakuita hapa wewe Mfilisti kizazi cha Eshmael....Naona imekuuma sana...Vipi na wewe uliomba kwa jina la Allah ukakosa nn...?
Tumsifu Yesu Kristu....
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Ulijuaje wewe peke yako ndo huna utitiri wa experience? au tuseme ulijuaje wengine wana utitiri wa experience? Ukipata kazi usijikweze kwa kujificha nyuma ya jina la Yesu, hukutakiwa kuwabeza wenzako, mtu asie jua maandiko anaweza kuona kama unantukuza Yesu lakini sivyo. unajikweza. hata yesu laifanya interview sio kwamba wale waliochaguliwa walijisifu juu ya wale wengine. kwani maandiko yanasema yesu alichagua mitume kumi na wawili miongoni mwa wanafunzi wake. Sasa sidhani kama kuna sehemu hawa wanafunzi walijisifu. pia jitahidi kuwa spiritual sio kila kazi anatoa Yesu hata shetani anaweza kukupa kazi kwa sababu zake mwenyewe usipokua na macho ya roho. kuna watu huwa hata hawasomi wanabaki kushuhudia tu kwa kusema Yesu atanifanyia mtihani matokeo yake huwa ni kufeli. Pia Interview ina vigezo vingi inategemea wanataka mtu wa aina ipi. kazi zingine wanataka fresh Graduate hasa UN.
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Huko Juba nadhani siku zako za Yesu kuja kukuchukua zitakuwa zimekaribia...Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Yehova yu hai
Mataifa yote tumsifu yeye
Yehova yu hai
Yehova anatenda
Tumtukuze kwa utukufu wake