YESU amenipa kazi UN

YESU amenipa kazi UN

Arrahmaan, hiyo ndiyo sifa ya mungu ya kuwapa hata wanaomkufuru kwa kusujudia binadamu wenzao(yesu), ila ipo siku utajuta na kuuma meno.
 
Na ajiangalie sana yule anaedhani kuwa amesimama
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

Na siku Mkataba ukiisha pia usisahau kumshukuru Yesu kwa kuwaona wengine pia! Ubarikiwe!
 
Amen...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
we Bujibuji Yesu anagawa kazi huku
 
Last edited by a moderator:

yupo mungu anaye jibu na kama uwamini jaribu.
Mungu yupi huyo unayemsema uliyeanza kumuandika jina na herufi ndogo kwa sababu nasikia kuna miungu wengi ambao kila dhehebu lina taratibu zake za kumwabudu.
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

ubarikiwe kwa kujua kuwa UMEPEWA NA YESU ingekuwa wengine wangeinua MABEGA.

:high5::high5:
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

Yesu ndio alikupa interview ... Sijaelewa bado
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Nakupongeza itahwa kwa kutambua uwezo wa JINA LA YESU kuwa unapita majina yote. Tambua kazi yako mpya umepewa na Mungu aliye Mkuu ambaye hafungamani na aina zote za Ufisadi/Rushwa,wizi,n.k. Endelea kumwomba yeye akuepushe na hayo yote. Kumbuka pia kuendelea kuomba kwa ajili ya watanzania wenzako ili kupata kazi zilizotukuka,na kuendelea kufanikiwa Personally and professionally,
 
Arrahmaan, hiyo ndiyo sifa ya mungu ya kuwapa hata wanaomkufuru kwa kusujudia binadamu wenzao(yesu), ila ipo siku utajuta na kuuma meno.

Nani kakuita hapa wewe Mfilisti kizazi cha Eshmael....Naona imekuuma sana...Vipi na wewe uliomba kwa jina la Allah ukakosa nn...?

Tumsifu Yesu Kristu....
 
Yesu yupi wa UN? coz kuna watu wengi sana wanaitwa Jesus. kama ni yesu kristo malizia kabisa kuwa yesu kristo ndio kakusaidia ukisema yesu tuu mi najua huyo boss wa UN anaitwa yesu.
 
Dah,
Hizi imani hizi!!!

Tuseme hao uliowashinda kama na wao wangekua na Yesu logically hiyo kazi mngegawana????!!!!
ndo shangaa na wewe...imani zingine bana..usikute hata kahonga then anakuja na habari fake eti kapewa kazi na yesu,wapi ?
 
huko Juba ni Islamu tupu kwa hiyo fikiri mara mbili na uendelee kulitetea jina hilo la YESU maana km sio mtego MUNGU akubariki
 
Bwana apewe sifa. Hongera sana. Nakusindikiza kwa Isaya 41:10. Ubarikiwe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom