Mungu yeye hakuhusika kabisa? Au inakuwaje hapo, ila samahani kiongozi naulizatu.Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Kwa hiyo?Fungu la kumi Ni mafundisho ya agano la kale!
hivi ushapata mwanaume hawakutendi tendi tena?Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Amina!...mama mtumishiNinasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Unajiongopea, fungu la kumi ndio dhaka ambayo lazima umtolee Mungu, pamoja na shukrani. Hizo zinazobaki ni mbwembwe tu, za kukifanya uzidi kuwa karibu na Mungu. Ila nakushauri na zenyewe uzifanye.Fungu la kumi Ni mafundisho ya agano la kale!
hongera sana kwa Yesu hakuna lisilowezekana kuwa mwaminifu usiwe mla rushwa.Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
mpaka anamuomba ulifikiri hajampa maisha?Ishu sio fungu la kumi tu, Yesu hayupo kwa ajili ya pesa za fungu lako la kumi, mtolee maisha yako sasa, ni vyema sana umeamini ni yeye ndio amekupa kazi na si nguvu zako binafsi, mtumikie sasa!
Kuna namna nyigi sana za kutoa fungu la kumi, sio lazima uchukue kalkuleta ukokotoe asilimia kumi ya mshahara wako mpya wa UN!
hongera na barikiwa kushudia...endelea hivo hivo hata utakapoanza kaziNinasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu