YESU amenipa kazi UN

YESU amenipa kazi UN

Anaeamwamin mwacheni wewe unebisha tumewaona wengi tu ambao wanajifanya mimsomi pasipo kumtanguli mungu matokeo yake anaendakuomba kazi anakosa zinaanza lawama jamani mungu ndiye kilakitu
 
HALELUYAA! chezea YESU weye, lolote mtakaloomba kwa jina langu baba wa mbinguni atajibu, I LOVE JESUS he never fails, endelea kumtegemea, mana amesema mambo ambayo jicho halijaona wala sikio halijasikio ndio ambayo ametuandalia.
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
 
Jesus is the answer! i repeat THE answer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Hongera sana kupata kazi UN
 
Curriculum Vitaé
Name: JESUS CHRIST
Address: Ephesians 1:20
Phone: Romans 10:13
Website: Bible
Keywords: Christ, Lord, Savior and Jesus
My name is Jesus - The Christ. Many call me Lord! I've sent you my CV because I'm seeking
the top management position in your heart. Feel free to read my details below.
Qualifications I founded the earth and established the heavens, (See Proverbs 3:19)
I formed man from the dust of the ground, (See Genesis 2:7)
I breathed into man the breath of life, (See Genesis 2:7)
I redeemed man from the curse of the law, (See Galatians 3:13)
The blessings of the Abrahamic Covenant comes upon your life through me,
(See Galatians 3:14)
Occupational
Background
I've only had one employer, (See Luke 2:49).
I've never been tardy, absent, disobedient, slothful or disrespectful.
My employer has nothing but rave reviews for me, (See Matthew 3:15-17)
Skills and
Work Experiences
Some of my skills and work experiences include: empowering the poor to be
poor no more, healing the brokenhearted, setting the captives free, healing the
sick, restoring sight to the blind and setting at liberty them that are bruised, (See
Luke 4:18).
I am a Wonderful Counselor, (See Isaiah 9:6). People who listen to me shall
dwell safely and shall not fear evil, (See Proverbs 1:33). Most importantly, I
have the authority, ability and power to cleanse you of your sins, (See I John
1:7-9)
Educational
Background
I encompass the entire breadth and length of knowledge, wisdom and
understanding, (See Proverbs 2:6). In me are hidden all of the treasures of
wisdom and knowledge, (See Colossians 2:3).My Word is so powerful; it has
been described as being a lamp unto your feet and a lamp unto your path, (See
Psalms 119:105).
I can even tell you all of the secrets of your heart, (See Psalms 44:21).
Major
Accomplishments
I was an active participant in the greatest Summit Meeting of all times, (See
Genesis 1:26). I laid down my life so that you may live, (See II Corinthians
5:15).
I defeated the archenemy of God and mankind and made a show of them
openly, (See Colossians 2:15). I've miraculously fed the poor, healed the sick
and raised the dead! There are many more major accomplishments, too many
to mention here. You can read them on my website, which is located at: www
dot - the BIBLE. You don't need an Internet connection or computer to access it.
References Believers and followers worldwide will testify to my divine healings, salvation,
deliverance, miracles, restoration and supernatural guidance.
Summary Now that you've read My CV, I'm confident that I'm the only candidate uniquely
qualified to fill this vital position in your heart.
In summation, I will properly direct your paths, (See Proverbs 3:5-6),
and lead you into everlasting life, (See John 6:47).
When can I start? Time is of the essence, (See Hebrews 3:15).
Mwanangu Ofisi za Yesu ziko wapi nimwone
 
Tulisifu jina la yesu na kulitukuza.Usiwasahau wengine wenye shida kama wewe ulivyokuwa hapo nyuma.Ndiyo shukrani pekee kwa yeye muweza wa yote.:frusty:
 
Nimekukubali....in Jesus name!

Wewe ulimuamini Yesu atakupa kazi na akakupa kweli. What if kuna waliomuamini Mungu ambae ni Boss wa huyo Yesu??

Na umejuaje kua katika mliohudhuria intavyuu, wewe pekee ndio imani yako juu ya Yesu ilikua juu, za wenzio zilikua chini au hamna kabisa????

Mliulizana viwango vya Imani labla/baada ya intavyuu???
 
Hongera sana! Kachape kazi na kusimamia kusudi la Mungu na utaendelea kusonga mbele! ila usisahau fungu la kumi ili uendelee kuteka baraka kisawasawa! best wishes
 
Arrahmaan, hiyo ndiyo sifa ya mungu ya kuwapa hata wanaomkufuru kwa kusujudia binadamu wenzao(yesu), ila ipo siku utajuta na kuuma meno.

Unahitaji maombi ya ukombozi baaaaaas

Biblia inasema:lolote muombalo kwa jina langu hesabuni mmekwishapokea na pia Yesu ndiye njia ya kweli na uzima,hakuna aendae kwa baba(Mungu) bila ya yeye
 
kwa hiyo ina maana Yesu hawapendi hao weingine waliokosa??

Ni bahati tu!

Hata China au Saudia watu hawwmwamini Yesu ila watu wanapata kazi nzuri kila siku!!!!
 
Ninasema kwa sauti ya juu
kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview
kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu
ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa
nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa
nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then
after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

... Nafikiri wote waliofikakwenye interview walimuomba Yesu ... kama wewe ... ! Inakuwaje wewe upate kazi wao wakose? Yesu ana upendeleo?
 
Mimi nakupa HONGERA kwa kuja kutujuza sisi na kuomba tumshukuru mungu katika hili. Ubarikiwe sana na BWANA.
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu
Kapige kazi Mkuu!

Hapo umelamba dume asikwambie mtu "UN?" Siyo utani utafaidi matunda ya uhuru!! Kwa kweli ukipiga goti sawasawa kwa YESU huwa anajibu maombi. Kama shule yako inatosha piga kazi sana tu wala usijeacha hiyo kazi kwa namna yoyote. UN mishahara yao kila mwaka inapanda kwa kiwango cha kutisha mpaka unachanganyikiwa, mimi nilijitoa ili niende shule zaidi ila kazi ilikuwa nzuri sana!! Hongera mkuu ila uvivu wa ki-TZ usiuendekeze!!!!
 
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu

......well, ni vema sana kutoa shukrani hasa kwa like unachoamini kuwa ndiyo msaada katika uhitaji wako na maombi yako. Kwangu mimi ni zaidi ya kupata kazi, ila inapokuja umepata kazi na ume compete na hasa wakenya if kama walikuwemo kwenye hiyo interview, I feel so proud kwa mtanzania kuonyesha uwezo huo. Nikutakie kila la kheri kwa majukumu yako mapya.
 
Amen mkuu.. Mungu wetu ni mwaminifu, usisahau kuendelea kuomba.
Juba ni duty station nzuri.. All the best ktk kazi yako mpya, ukawajibike ipasavyo!! Congrats!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom