IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,715
- 8,119
Dah,
Hizi imani hizi!!!
Tuseme hao uliowashinda kama na wao wangekua na Yesu logically hiyo kazi mngegawana????!!!!
Logic.......
Dah,
Hizi imani hizi!!!
Tuseme hao uliowashinda kama na wao wangekua na Yesu logically hiyo kazi mngegawana????!!!!
Nani kakuita hapa wewe Mfilisti kizazi cha Eshmael....Naona imekuuma sana...Vipi na wewe uliomba kwa jina la Allah ukakosa nn...?
Tumsifu Yesu Kristu....
Tuwe na tabia ya kumshukuru Mungu si Yesu wala Mohammad sababu Mungu ndo mwanzo na mwisho na hao wengine ni Wajumbe wake.
ulete kanisani kwangu mkuu EVERLASTING CHURCHhongera mkuu,usisahau kutoka lile fungu la kumi katika mshahara wako!!!
kha!!!!!!ulete kanisani kwangu mkuu EVERLASTING CHURCH
Ninasema kwa sauti ya juu kuwa YESU amenipa kazi umoja wa mataifa, maana katika ile interview kulikuwa na wasomi waliobobea na experienced sana! mimi peke yangu tuu ndio nilikuwa sina utitiri wa experience! mda wote wa Interview nilikuwa nikimuomba yesu anisaidie nipate kazi, leo nimepata skype call kuwa nimeshinda ile nafasi, my working station will be in Nairobi Kenya then after 3 months nitahamia JUba Sudan. Asante sana Yesu