Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Hakuna kitu kinaniumiza kama kumuonea mtu! Ni dhahiri hata nikigundua ninemuonea hata mke wangu, huwa najuta sana.

Tuendelee kumwombea Jaji awe fair, kuwaombea akina Adamoo, Ling'wenya na Bwire pamoja Mbowe kwa Mungu ili kuwanusuru na dhuluma.

Wote tuseme kwa Ujasiri Waebrania 13:6
" Bwana ndiye Msaidizi wangu, sitasita, wanadamu (Bibi Michele, Siro, Kingai, Boaz & co) wanaweza kufanya nini kwangu"
Kweli aisee. Mimi huwa nakumbuka hata matukio ambayao niliwahi kufanya udogoni mwangu.

Matukio ya kumpiga mdogo wangu kwa sababu tu namweza na hawezi kunirudishia kipigo. Huwa najuta kabisa. Sitaki tena dhambi hii ndio maana bora niwe keyboard warrior lakini ukweli niusemee. Uonevu ni mbaya sana.
 
Acha leo luteni muongo muongo akutane na spana za kina kibatala..

Njia ya muongo huwa ni fupi sana.
Na akitoka hapo anaenda kula ban jeshini kwa kuwadanganya makomando wenzake na kuwauza kwa watesi wao kina kingai kwa thaman ya laki5.
Juzi alikuwa anatiririka utadhani ukweli.

Based on stories
 
Undercover wameteseka sana wametelekezwa na mkuu wao hii ni Atari kaja kukiri mbele yao na wamejua nini kitafata baada ya hapo na muv za kivita tumeangalia sana
 
Mahakama jana imesema inampa amri ajibu maswali bila kuathiri mwajiri wake. Patamu hapo.

Mipango waliyopanga imevurugika.
Bado athari ipo pale pale,kalichafua jeshi letu kwa kuwatesa makomandoo wazalendo na kuwaweka hatarini vijana aliowafunza kwa tamaa zake za cheo na kutoa ushahidi wa mchongo mahakamani bila aibu.
Tusisite kuwabainisha wadhalimu na watesi wengine wote wa wananchi wenzetu bila kujali walipo.
 
Leo_Nje_Watu_ni_Wengi_sana_na_Ndani_Watu_ni_wengi_sana_hapa_Mahakamani..jpg
Mahakamani_Leo%2C_Ijumaa_ya_Tarehe__28_January_2022_mawakili_wa_Utetezi_tayari_wapo_ndani_ya_c...jpg
Katibu_Mkuu_wa_Chadema_Mh._John_Mnyika_tayari_amewasili_ndani_ya_ukumbi_wa_mahakama_kufuatilia...jpg
 
Huyu Shahidi mpka akutane na Kibatala atakua kachoka sanaa....

Mue mnaonea watu huruma wazee, anawatoto mjue
 
sijawahi ona watu wanapenda picha kama cdm. sasa mnyika kaenda hapo ili aonekane tu kwenye picha. akitoka hapo nje anaweka mkutano anawatukana majaji ati majaji wa michongo. hata heshima kwa mahakama hana, na bado anaenda hapo kila siku. kavimbisha mashavu tu kwa hela za wanachadema, na hawasaidii lolote. siku mkija kuwafahamu undani hawa viumbe, mtajua mlipoteza muda sana.
 
Back
Top Bottom