luteni urio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Ni kweli Luteni Urio alitoa taarifa ya tukio au baada ya kushtukiwa mpango wake akawageuka?

    Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli. Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa...
  2. GUSSIE

    Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu(...
  3. William Mshumbusi

    Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  4. Suley2019

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
  5. N

    Ya Wakili Kidando, Luteni Urio, Katiba ya Mbowe na siku ya kuzaliwa yametufariji sana juma hili

    Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu. Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana. May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea...
  6. The Sheriff

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  7. mnengene

    Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua...
Back
Top Bottom