Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

... wengi walielewa; wachache hawakuelewa. Kwa faida ya ambao hawakuelewa nilimaanisha hivyo since then; simple logic would suffice.
Ni mmoja kati ya walioelewa ndipo nikataka uwaweke wazi na waliokuwa hwajaelewa pia, Alright then
 
Ni mmoja kati ya walioelewa ndipo nikataka uwaweke wazi na waliokuwa hwajaelewa pia, Alright then
Mm nilimuelewa ila yeye alikuwa hana uelewa kupitia jf sasa amepata elimu kuwa kuna star generals na wenye nyota za kawaida, ie luten usu, luteni na captain.

Watu wa aina ya dudus wakimuona major na captain halafu akaambiwa achague ni yupi mwenye cheo basi atamchagua captain kwa kuchachawa na ile minyota mitatu
 
unaita mtu bush lawyer wakati ameongea at least kitu. wewe hujaongea chochote, ni empty headed lakini unaamini una akili. weka hoja hapo tujibizane kwa hoja, sio kuleta porojo hapa.au la nenda vijiweni kabishane na walevi huko.
Nyie bado ni ma bush lawyers tu. Siwezi kulumbana kwa hoja na wapuuzi kwa sababu nami nitaonekana mpuuzi.
 
Nyie bado ni ma bush lawyers tu. Siwezi kulumbana kwa hoja na wapuuzi kwa sababu nami nitaonekana mpuuzi.
sasa wewe unajiita lawyer, unapigania watu waendelee kuishi mbugani na wanyama, hawachiimbi vyoo, wanadondosha tu nnya kama ngómbe, kwanini usipambanie jamii yako mjenge vyoo kwanza ndio uje kutukana watu wengine huku? kuna siku mbugani kule wazungu wataharisha balaa kwasababu ya maisha yenu ya kiporipori, mtaleta magonjwa hadi kwa wanyama.waacheni wanyama wakae peke yao ndo waliumbwa hivo, na ninyi mkae na wanadamu wengine mpate civilization.
 
Bush lawyer umekuja na hoja nyingine ya wanoishi mbugani.Hoja ya kipuuzi kabisa. Wewe ni bush lawyer tu.
 
Back
Top Bottom