GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,697
- 109,125
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo.
Chanzo: habarileo_tz
Kwangu Mimi hii ni Kazi ya ama Mkuu wa Wilaya au wa Mkoa na hata wala si ya Waziri au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais au hata Mkuu wa Majeshi.
Tukiwasema hatuwachukii tunawapenda.