kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,914
- 7,411
Yani hapa hapa alivyokwambia utafute ndio umekosa?Nimewakosa
Yani hapa hapa alivyokwambia utafute ndio umekosa?Nimewakosa
Ni yeye 😹Kwani huyu ndo DA mau? Mbna sikua najua, Lol
Kwanini uvalishwe kwanza tuanzie hapo tu.Nimerushiwa kitu kama kuvalishwa kitu mwilini dira zangu zikafutikaga
Mabwakuu, 😂😂😂😂Ni yeye 😹
Utaweza hiyo sifongo mzee babaMwenzio anahitaji msaada afu ww unaleta utani, acha hizo mkuu 😎
Kuna muujiza Gani umetokea🤷🏽♂️
Kama una nauli ya Tabora njoo uchukue namba free of charge. Utanishukuru badae.Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.
Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
Nimejikamilisha mkuuUtaweza hiyo sifongo mzee baba
Do you have waters or winds?Una majini ama mapepo?
Haha 😀Do you have waters or winds?
(Tafsiri kwa wale wasiojua Kiswahili)
Kama nimekosea usisite kunirekebisha mkuu, Mimi Sina makuu kabisa.Haha 😀
We nawe acha utapeli, umeanza lini hii tabia?Kama una nauli ya Tabora njoo uchukue namba free of charge. Utanishukuru badae.
Kuna muujiza Gani umetokea
Hapana mi mtu wawatu sana ila nimama yangu aliapa kuwa sintokuwa tajiri wala kuolewa labda afeKuna mtu ulimtendea uovu? Na hukusuluhishana nae?
Halisi ndio hayupoMbona wataalamu ni wengi sana
NAwapatia wapi waaminifuTafuta wataalum kitoka zanzibar (hawa maostazi wasoma dua )huko wataweza shida zako hawa huku bara uongo mtupu