Wenzangu hali si hali nimekwama

Wenzangu hali si hali nimekwama

SweetyCandy Pole sana
Kama upo Dar es Salaam nenda kwa Mwalimu na Kuhani Mussa Richard Mwacha, yupo Kimara Temboni, utapata ufungulivu.
 
Kimbilia kwenye maombi kutokana na dini yako tena kwa Imani haswa piga toba ingia kwa maombi kama una hofu ya Mungu otherwise me sijui
 
Asante ila ningempata huyu babamzee wa upako au kakobe hao ninafuu
Hata Mwamposa siyo mbaya. Jitahidi kuliko kupoteza muda huko kwa waganga, saa nyingine wanakuwa hawakutibu bali ndiyo wanaendelea kukuingiza ndani zaidi kwenye madhabahu za kuzimu. Huwezi kuondoa nguvu ya giza uliyonayo kwa kutumia nguvu ya giza, utakuwa hufanyi kitu bali unazunguka hapohapo tu.
 
Mimi hua nina photographic memory Alhamdulillah nikiona kitu hakitoki kiurahisi, si wewe ulikuaga uzi wa Arsis ukisema wewe ni kiti unatibu watu imekuaje tena bibi kiti wamekugeuka wadau wakukalia kiti?
 
Mimi hua nina photographic memory Alhamdulillah nikiona kitu hakitoki kiurahisi, si wewe ulikuaga uzi wa Arsis ukisema wewe ni kiti unatibu watu imekuaje tena bibi kiti wamekugeuka wadau wakukalia kiti?
Sitibu naona matatizo ya watu ila steji ya kutibu sitibugi ila shida za watu wengi wameponea kwangu kwakuwaelezea niyaonayo au niotayoo.
 
Pole sana, hio ni imani tuu usiiamini kabisa, itakupotezea muda utaenda kwa mganga huyu yule. Hio nguvu unayotumia kuwaza au kuhisi una tatizo ujue ni kubwa sana, inauq kiakili na kimwili.. Inakufanya macho yako yasione vizuri jinsi ulivyo barikiwa. Inaku destroy kidogo kidogo. Anza na baby steps kukabiliana nalo, usifocus na vitu vikubwa, anza kidogo kidogo vitu vidogo vidogo but achievable kama kutembelea ndugu, kusali, kusaidia wahitaji, kupika kwa ustadi chakula kizuri na kula, utafeel postive. Uki feel good about yourself utapata energy ya kukabiliana na vikubwa. Ndipo hapo utakapoanza ku fight tena na kukamilisha vikubwa. Once uki achieve vyote hautakuwa na mawazo mabaya tena kuhusu wewe. Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom