kuna siku ulitoa thread namna fulan unajua kuhusu mambo ya upande wa pili nikimaanisha majini nilikoment ule uzi ulini jibu namna flani nikajua tu kuna nyuzi flani kichwani haijakaa vizur tatizo sio huo uzito mgongoni linaanzia kwenye akili, ubongo wako una tatizo umeona namna
Watu8 amekujibu?? hilo n tatizo la akili jaribu kuona madaktra bingwa achana na huko unakoenda sababu wengine hutest dawa zao utapewa mazindiko yasiyo tiba yako ubebe mambo mapya yaje yakusumbue, ukifunguka zaidi utapata msaada, kama uneamua kuwa wwazi bas funguka zaidi utasaidika.