Dafu ya Shamba
Senior Member
- Jun 23, 2023
- 197
- 548
Hadi leo hujapata msaada?
BadooHadi leo hujapata msaada?
Njoo sasa nikupe dawa yanini kuteseka wakati mimi nipo...!Mie maskini bado sina ubossy wowote napigwa vitq na majini
Dawa yaniniNjoo sasa nikupe dawa yanini kuteseka wakati mimi nipo...!
Ya mateso unayo pataDawa yanini
Siku hizi naona wengi wanapaka asali, jaribu huenda ukafunguliwaNimerushiwa kitu kama kuvalishwa kitu mwilini dira zangu zikafutikaga
I second you..Aliyekuambia kakudanganya, tafadhali ishi maisha yako bila kutegemea Imani potofu....utashinda....
Hayo unayopitia ni ile hali umeaminishwa then umejitia woga...basi utaona mengi... please chochote unachoona hakipo sawa,ni hali ya kawaida kukupata maana huwezi kuwa na hali positively tu sikuzote,kupitia changamoto lazima
Kabisa mkuuI second you..
Mambo mengine ni imani tu na ukiamini sana ndo unazidi kuumia!