Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 41,015
- 119,583
Tatizo nimebakia njia panda. Sielewi twende kwa wataalam, au twende kwenye maombi! 😩Badala yakuumiza kichwa tufanyaje unanitupa
Tatizo nimebakia njia panda. Sielewi twende kwa wataalam, au twende kwenye maombi! 😩Badala yakuumiza kichwa tufanyaje unanitupa
Kote utaliwa pesa geukia Mungu wako hayo yote yataisha kwingine ni kupigwa pesa tu, to yeye usimsikilize ikiwa Mungu anasema uchawi upo yeye anasema hakuna kitu kama hicho kipo, Muhimu mugeukie Muumba wako na hapo kwenye Imani wengi wanafeli, elewa Muumba wetu anamjua Kila mtu na vitimbi vyake hivyo tumaoni ni kwake tu.Hapana nipo serious
Hahaha, namchota sister,We nawe acha utapeli, umeanza lini hii tabia?
Nipeleke kwenye maombiTatizo nimebakia njia panda. Sielewi twende kwa wataalam, au twende kwenye maombi! 😩
Nimefurahi kukuonaUnatafuta mganga?
Nikupe namba ya Da Salama buguruni akakupige nyungu?
Achana na ushirikina ndugu , waganga ni matapeli watakupiga pesa na hautopona kitu.Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.
Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
Una shida gani tukusaidie? maana hapa hujaeleza chochoteYaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.
Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
Hee! Ulimkosea nini hadi aape hivyo?Hapana mi mtu wawatu sana ila nimama yangu aliapa kuwa sintokuwa tajiri wala kuolewa labda afe
Hakuna kwa kweli alisema hataki tu niendelee atafanya kila awezavyo nisiwe kituHee! Ulimkosea nini hadi aape hivyo?
Duh! Pole sana. Mungu akusaidieHakuna kwa kweli alisema hataki tu niendelee atafanya kila awezavyo nisiwe kitu
Njoo tuyajenge Acha kutesekaYupo mbali halafu anaringa sana Tate Mkuu haya valentine alikuwa na babe mwingine
Upo dar es Salaam nini...nikupe dawa bureeeee...!Hapana mi mtu wawatu sana ila nimama yangu aliapa kuwa sintokuwa tajiri wala kuolewa labda afe
Mbona bado umeweka code kiongozi.Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.
Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
YaniniMbona bado umeweka code kiongozi.
Hapana unataka tuyajenge umri pia unachangiaUpo dar es Salaam nini...nikupe dawa bureeeee...!