05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,644
Kuna jamaa alikuwa na yeye anasema anasikia kama kichwani anapigwa na kitu kizito almanusura kupoteza fahamu, yaani akiwa anataka kusinzia kuna kitu kinatembea kutoka kwenye uti wa mgongo kinapanda hadi kichwani kinampiga kwa ndani hadi anapiga kelele kwa maumivu. alikuwa halali...
Baada ya kuzunguka kwenye vipimo ikaja kugundulika ni matatizo ya neva na uti wa mgongo, alipewa dawa akapona, lakini kabla kila mmoja alihisi jamaa amerogwa.
Ulishajaribu kupimwa Ct scan, MRI au vipimo ya damu?
Sijui Kama ameiona hii message.