Wenzangu hali si hali nimekwama

Wenzangu hali si hali nimekwama

Aliyekuambia kakudanganya, tafadhali ishi maisha yako bila kutegemea Imani potofu....utashinda....
Hayo unayopitia ni ile hali umeaminishwa then umejitia woga...basi utaona mengi... please chochote unachoona hakipo sawa,ni hali ya kawaida kukupata maana huwezi kuwa na hali positively tu sikuzote,kupitia changamoto lazima
Ni kweli uyasemayo ila nitofauti nasikia hivi. Kitu kikubwa kizito mgongoni kinanilemea kinaninyonga kinashuka gadi mgongoni kinakaba mbavu sana hadi sipumui
 
Ni kweli uyasemayo ila nitofauti nasikia hivi. Kitu kikubwa kizito mgongoni kinanilemea kinaninyonga kinashuka gadi mgongoni kinakaba mbavu sana hadi sipumui
Kuna jamaa alikuwa na yeye anasema anasikia kama kichwani anapigwa na kitu kizito almanusura kupoteza fahamu, yaani akiwa anataka kusinzia kuna kitu kinatembea kutoka kwenye uti wa mgongo kinapanda hadi kichwani kinampiga kwa ndani hadi anapiga kelele kwa maumivu. alikuwa halali...

Baada ya kuzunguka kwenye vipimo ikaja kugundulika ni matatizo ya neva na uti wa mgongo, alipewa dawa akapona, lakini kabla kila mmoja alihisi jamaa amerogwa.

Ulishajaribu kupimwa Ct scan, MRI au vipimo ya damu?
 
Back
Top Bottom