NakaziaWatu washapiga vyao,
kwani huo usalama gani anaouzungumzia?
"Mpaka uwe umesoma cuba ndio utaweza kuwaelewa wabongo vinginevyo utapoteza mda wako bure kabisa"Mpakauw3um3s0m3aCubandip0utaw3zakuwa3lewaWab0ng0.Vingin3vy0unap0t3zamudawak0bur33kabisa!!!
Mkuu za Japan ni za umeme na sumaku,zinaenda kasi sana,tena sana ,hizo Marekani hamna.mliosikiliza taarifa ya habari tarehe 3/18/2024 saa mbili kamili .nimeshangazwa na waziri mbarawa kusema treni hii sio zile kama japani wala kokote sababu ya usalama.
walikuwa na maana gani kusema ya kasi inayotumia umeme
kwa hiyo umeme utakaokuwepo mule kwa ajili ya friji na feni za ndaniMkuu za Japan ni za umeme na sumaku,zinaenda kasi sana,tena sana ,hizo Marekani hamna.
Ni gharama sana kuzijenga na kuendesha mfumo wake
Usalama ni tatizo,,maana Km 500/saa siyo masihala
Au NajumunisaUskute limetengezwa Huku bongo alafu wamefunga ingine ya majinja express
Hv hakuna namna ya kuwawajibisha hawa watu?mliosikiliza taarifa ya habari tarehe 3/18/2024 saa mbili kamili .nimeshangazwa na waziri mbarawa kusema treni hii sio zile kama japani wala kokote sababu ya usalama.
walikuwa na maana gani kusema ya kasi inayotumia umeme
Ngongongo. HahahaMuonekano wake tu inaonekana si ya spidi kama zile za ulaya. Hii treni ni ngongongo iliyochangamka
Nilichokueleza ni kwamba Japan ndiyo nchi yenye treni za mwendokasi zaidi duniani, km 500 kwa saa.kwa hiyo umeme utakaokuwepo mule kwa ajili ya friji na feni za ndani
unajua unajichanganya.Nilichokueleza ni kwamba Japan ndiyo nchi yenye treni za mwendokasi zaidi duniani, km 500 kwa saa.
Teknolojia yao inatumia electromagnetism,,
Ambapo ni gharama na hatari kwa usalama...hata Amerika ameshindwa kuweka huo mfumo.
Maglev | Facts, Operation, & Systems
Maglev, a floating vehicle for land transportation that is supported by either electromagnetic attraction or repulsion. Maglevs use magnetic forces—like poles repel each other, and opposite poles attract—to lift, propel, and guide a vehicle over a track.www.britannica.com
hata JF WATAKATAZWA SIO MDA