Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

mliosikiliza taarifa ya habari tarehe 3/18/2024 saa mbili kamili .nimeshangazwa na waziri mbarawa kusema treni hii sio zile kama japani wala kokote sababu ya usalama.
walikuwa na maana gani kusema ya kasi inayotumia umeme
Mkuu za Japan ni za umeme na sumaku,zinaenda kasi sana,tena sana ,hizo Marekani hamna.

Ni gharama sana kuzijenga na kuendesha mfumo wake

Usalama ni tatizo,,maana Km 500/saa siyo masihala
 
Muonekano wake tu inaonekana si ya spidi kama zile za ulaya. Hii treni ni ngongongo iliyochangamka
 
Mkuu za Japan ni za umeme na sumaku,zinaenda kasi sana,tena sana ,hizo Marekani hamna.

Ni gharama sana kuzijenga na kuendesha mfumo wake

Usalama ni tatizo,,maana Km 500/saa siyo masihala
kwa hiyo umeme utakaokuwepo mule kwa ajili ya friji na feni za ndani
 
mliosikiliza taarifa ya habari tarehe 3/18/2024 saa mbili kamili .nimeshangazwa na waziri mbarawa kusema treni hii sio zile kama japani wala kokote sababu ya usalama.
walikuwa na maana gani kusema ya kasi inayotumia umeme
Hv hakuna namna ya kuwawajibisha hawa watu?
 
kwa hiyo umeme utakaokuwepo mule kwa ajili ya friji na feni za ndani
Nilichokueleza ni kwamba Japan ndiyo nchi yenye treni za mwendokasi zaidi duniani, km 500 kwa saa.
Teknolojia yao inatumia electromagnetism,,

Ambapo ni gharama na hatari kwa usalama...hata Amerika ameshindwa kuweka huo mfumo.

unajua unajichanganya.
teknolojia ya treni ya umeme hipo mda mrefu hata nchi bado kupata uhuru.wewe unataka treni ambayo ni teknolojia hata steji ya pili bado.hiyo magnet ni teknolojia mpya kwa dunia ya sasa sawa na gari za umeme kama tesla.
usiluke mambo
 
Screenshot_20240318_210006_X.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom