Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

"Serikali iliyopita ilikuwa ya kulindana"
- yes ilikuwa ya kulindana, ikakulinda pia ila mwenzetu hukupenda kabisa hayo mambo ya kulindana, ni matumaini kuwa bado hupendi kulindana na kulindwa, hiyo inakubidi uteme yote uliyolindwa, ubatizwe upya kwa moto wa tanuru uwe mtu mpya na maisha yako yawe mapya, mapya kabisa kama mtoto aliyezaliwa Leo!!!
kWA HIYO MKUU KAMA KUNA MACHAFU KAYAFANYA YASIWEKWE WAZI? NA WALE MAAFISA WA BANDARI NA TRA WALIGOMBANA NA NANI? KWA HIYO NAWAO MACHAFU YAO YANGEACHWA TU?
 
Mkuu Mange ana Siri zao nyingi sana hapa amebeep tu , mange alikuwa Rafiki mkubwa wa Mwanvita Kwa Kipindi kirefu tokea mwanvita hana cheo vodacom hadi akachepuka na Rostam Aziz akapandishwa cheo Ghafra hadi bodi ya voda wakalalamika ikabidi ahamishiwe South Africa ambapo alimnunulia nyumba huku mwanvita akichepuka na wengine humo humo , kuna mengi yanakuja vuta subra kidogo vinginevyo labda waamue kumpigia magoti Mange japo tokea jana January yupo na kamati za Ufundi kibao anahaha kila anga kutuliza mizuka ya Watanzania .
Mkuu funguka zaidi, unanipa uhondo kufuatilia hii issue
 
Kweli hapo sasa juhudi za familia zinahitajika ,, la sivyo kijana wa familia ananyofolewa faster pale karibu na Ikulu,, hapo mzee wa ,,Kikucha,, lazima aongeze ubani kunusuru kazi ya kijana,,

Swali je,, MSUKUMA atarogeka kwa ndumba za kule Bumbuli?

Uzuri hii ni vita ya waswahili wenyewe kwa wenyewe...

Wote ni wasimamia kucha ngoja tuone itaishia wapi....
 
Sifa kuu ya mswahili
Unafiki
Umbea
Fitna
Majungu
Uwongo
uvivu
Kutojali muda
Uzururaji
............
.............
 
Uzuri hii ni vita ya waswahili wenyewe kwa wenyewe...

Wote ni wasimamia kucha ngoja tuone itaishia wapi....

Ninasikia anga za pande hizo jana usiku ni nyungo tu zilifunika.!!!
 
Naona kama uchaguzi Wa mbunge Bumbuli unarudiwa....

Naona watu wanapiga kampeni kabisa.........

Naona polisi wakiimarisha usalama ktk jimbo la Bumbuli.....

Naona Afisa uchaguzi Halmashauri ya Bumbuli akisema wamepokea vifaa vya uchaguzi na viko vyote.....

Naona watu wako foleni alfajiri ya saa 12 ....kupiga kura....ila wako wachche....

Naonaaaaa.......I can seeee
 
kWA HIYO MKUU KAMA KUNA MACHAFU KAYAFANYA YASIWEKWE WAZI? NA WALE MAAFISA WA BANDARI NA TRA WALIGOMBANA NA NANI? KWA HIYO NAWAO MACHAFU YAO YANGEACHWA TU?
U have missed not just the boat but the whole monsoon wind
 
J
Mswahili ni mtu wa pwani..."swahel" ni neno la kiarabu linalomaanisha pwani na ndo lililotoholesha neno swahili..

Hivyo basi watu wote waishio au watokao maeneo ya pwani (origin) ni waswahili.
Nashukuru umempa some....
 
Naona kama uchaguzi Wa mbunge Bumbuli unarudiwa....

Naona watu wanapiga kampeni kabisa.........

Naona polisi wakiimarisha usalama ktk jimbo la Bumbuli.....

Naona Afisa uchaguzi Halmashauri ya Bumbuli akisema wamepokea vifaa vya uchaguzi na viko vyote.....

Naona watu wako foleni alfajiri ya saa 12 ....kupiga kura....ila wako wachche....

Naonaaaaa.......I can seeee

Jimbo lilikuwa la CHADEMA lile 2015, haki haipotei wangu, itachelewa lakini itafika tu. Kuna usemi kisicho rizki hakiliki.
 
Sifa kuu ya mswahili
Unafiki
Umbea
Fitna
Majungu
Uwongo
uvivu
Kutojali muda
Uzururaji
............
.............

Umesahau wana wivu sana..... Ulozi...... Chuki....husda....choyo na hawapendi kufanikiwa kwa MTU.....
 
Jimbo lilikuwa la CHADEMA lile 2015, haki haipotei wangu, itachelewa lakini itafika tu. Kuna usemi kisicho rizki hakiliki.
Usijali wangu.......

I can see.... Hata nikifumba macho naona tuuuu
 
January ni kipenzi cha vijana wengi akiwa kama mtu wa kuigwa ila kwa hili pengine na mengine tusiyoyajua, atakuwa amewaangusha vijana.
Hivi January analipi la kuigwa?usifanye Watz wote ni wajinga kama wewe.Hao akina JM ndo wanao ifaidi hii nchi ila wajinga mnazidi kusmshangilia
 
Kuna kiwango cha kumuonea mtu huruma ila sio kwa ishu kama hii. Mtu mwenye potential ya kujenga bandari kama anavyodai tunategemea awe na uelewa usio tia Shaka kwenye biashara. Hawa ndiyo watu wanaotapeliwa kwa kuuziwa daraja nayeye anakubali binafsi siwezi muonea huruma mtu kama huyo.

Nategemea Makamba atatoa utetezi wake kadri atavyozidi kuwekwa wazi au kuchafuliwa kama ni ishu ya kupikwa

Ukweli ni kwamba hapa tusimuonee huruma aliyehonga pesa maana naye alikuwa na lengo baya tu! Shida yetu kama wa-TZ ni huyu kijana aliyepewa dhamana ya kitaifa. Bila kujali upuuzi wa mwenzake, hatutegemei tuwe na waziri muwindaji kama huyu. Miaka yote hajawahi onyesha reasoning power. Ni crafty, crafy, always crafty! Shiiit!
 
January ni kipenzi cha vijana wengi akiwa kama mtu wa kuigwa ila kwa hili pengine na mengine tusiyoyajua, atakuwa amewaangusha vijana.

We ni kijana uliyekuwa unamuiga mtu kama huyu? Umekwisha! Historia yake imepinda tangu shuleni iweje awe ni mfano wa kuigwa? Eti failure wa TZ akafanikiwa kupiga shule US! Hahaaaaa! NO!
 
We ni kijana uliyekuwa unamuiga mtu kama huyu? Umekwisha! Historia yake imepinda tangu shuleni iweje awe ni mfano wa kuigwa? Eti failure wa TZ akafanikiwa kupiga shule US! Hahaaaaa! NO!
Hakuna aliyekamilika, kitendo cha yeye kufikia ngazi ya uwaziri c kitu chakubeza. Mwisho wa siku kila mtu anamtazamo wake. Naheshimu mawazo yako.

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
 
kWA HIYO MKUU KAMA KUNA MACHAFU KAYAFANYA YASIWEKWE WAZI? NA WALE MAAFISA WA BANDARI NA TRA WALIGOMBANA NA NANI? KWA HIYO NAWAO MACHAFU YAO YANGEACHWA TU?

Hakuna litakalobaki, hakuna kitakachobaki, banda la mabanzi halihimili moto mkali!!
 
Back
Top Bottom