Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 986
- 513
Tatizo hamufaham siasa za vyama vingi. Nina hakika huko CCM mnamwita Mange msaliti au amenunuliwa na upinzani. Kwani upinzani wa kisiasa sio uadui kama wengi walioko ccm wanavyofaham. Katika ushindani wa siasa iko kitu inaitwa reaching consensus, crossing the isle for the common interests or values. Kwa hiyo sio mbaya kwa pale hao wapinzani wakampongeza Mange kwa kufichua uovu. Sababu vita dhidi ya rushwa, ufisadi na maovu yote hiyo ni common cause ya kila mtu bila kujali mrengu wa siasa mtu alofungama nao.Leo mnamuona Mange kichaa!! Alivyokuwa anamtukana Lowasa alikuwa timamu?? Vumilieni MWIBA UNATOLEWA SEHEMU ULIPOIINGILIA
Might is not right