Chorus huwa tunaimba sisi sasa wao huimba mashairiJanuary naye kakiri kupokea pesa lakini alimuomba dadaake...hii colabo tamu sana
Dada kakubali sauti ni yake
Kaka kakubali kupokea hela
Bado chorus tuu
U r ryt mfanyabiashara makini hawez kua mpuuzi kiasi hiki....Kama kuna mtu alitaka tenda ya ujenzi bandari ya bagamoyo kwa kufanya dili na Makamba tena kupitia simu huyo mtu ni mpuuuzi na anastahili kuibiwa. Hapo Makambas walitumia fursa. Hakuna mfanya biashara anaweza kuwa reckless kiasi hicho
Makamba akaupe tenda kama nani? Kuweka down payment ya 100mil USD kwa bandari ambayo itajengwa kwa over billion $$- kuna kitu hakipo sawa hapa. Bagamoyo port ipo wazi kwamba itajengwa na wachina tena kwa mkopo sasa hawa waitalinao ni wajinga kiasi gani kutojua kitu kama hicho kabla ya kuweka bid ya kutaka tenda halafu pesa mnawapa watu binafsi mtu na kaka yake!! Acha waibiwe kwa ujinga wao
Yaani kuna mtu mwenye akili timamu anayemuamini huyu mwanamke anayemshauri Wema kutafuta wanae wenye pesa badala ya kumshauri kutafuta pesa zake?
Huyu usikute ana ugomvi au wivu na huyo Mwamvita tu halafu watu wanaingia kichwakichwa
Maana oflate amekuwa mtu wa kutengeneza e-mail na akaunti fake kwenye mitandao na kudanganya watu na hata kutukana watu.
Kiufupi ni Psychiatric huyu haaminiki
Kipindi cha uchaguzi mkuu alkua akitukana watu kwa tuhuma za uongo.Ni mtu wa ovyo ovyo sana
Mkuu unamaanisha kuwa hiyo ni mipasho tu au?hakuna harufu ya mchezo mchafu?Nimefuatilia kidogo hili swala la makamba naona kama watu wanavuana nguo za ndani,
Sina cha kuongezea but ni chafu sana tena sana,
Huyu dada nilikuwa nampenda sana nimekumbuka wimbo wa power of a woman.
Hii hata isitoke kwenye magazeti ibakie hukohuko instagram.
weka mbali na watoto.
I am singing "All is falling down".
Muulize Magufuli kipindi cha uchaguzi mkuu msaada wa January MakambaUna maana gani kusema ni hazina kubwa? Hebu thibitisha hilo.
Kuuza ni fani/hobby ya mtu, hakuhusiani na kipato au cheo!!Ina maana dada mtu pamoja na cheo alichonacho bado tu anauza?
wewe umewaonaOfcoz jamaa aliniudhi alipomsema JK siwezi mtete kamwe,,, ila naona UKAWA povu zinawatoka zaidi sijui kwanini?!
Kumbe ndio kilichotokea! Mh ! Safi wacha movie iendeleeeKilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.
Jaribu kupitia..
(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)
![]()
Absolutely, dogo alivimba kichwa na kuanza kuongea upuuzi ila kwa sasa Political carrier yake imesha oza hana pa kujishikiza tena. He is finished.Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Ulikuwa unanpenda sasa unamchukia?nakama unamchukia nikwanini unamchukia?kuanika maovu yanayofanywa na viongozi wanaojiita malaika huku ni mafisadi papa ndio umchukie?Nimefuatilia kidogo hili swala la makamba naona kama watu wanavuana nguo za ndani,
Sina cha kuongezea but ni chafu sana tena sana,
Huyu dada nilikuwa nampenda sana nimekumbuka wimbo wa power of a woman.
Hii hata isitoke kwenye magazeti ibakie hukohuko instagram.
weka mbali na watoto.
I am singing "All is falling down".
Wamesahau kuwa muosha daima uoshwaDogo hujifanya smart sana....
Huyo dadake alikuwa wa kina Rostam na anaonekana anapenda mno wenye PESA!!!
Ila mtendwa hutendwa hawa waswahili wakiumizana mi sijali coz ni watu wasio kuwa na shukrani...
Sikutegemea ukaribu uliokuwepo kati ya Makamba Family na Lowassa hii family imdhalilishe kiasi kile na mwenzao asijibu kitu!!!
Waswahili sina huruma kwao and I really hate them!!!
Magufuli ebu fukuza huyu makamba mara moja maana ametoa siri ya kilichomo ndani ya serikali yako,Acha the bald head asemwe na avuliwe nguo. Yani malipo ni hapa hapa duniani. Alivyokuwa mstari wa mbele kumuaibisha mzee wetu ngoyai kipenzi cha wote yeye na kampani yake alizan yuko salama. Wametumia mabilioni ya walipa kodi kumtukana EL.
Bora ukae kimya mkuu.hii taarifa ni ya kipuuzi inayojadiliwa na wapuuzi kama nyie pesa apewe dada lawama ziende kwa kaka nyie punguani kweli
Hapa dawa ni kumfukuza kazi huyo makamba na kumpandisha kwa pilato ila imetupa na kutufungua macho kuwa Magufuli amezungukwa na kundi la mafisadi hivyo basi awache kujitapa kuwa ameunda serikali adilifu.....ccm ni ileileSikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....
Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....
Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?
Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....
Ni wanyama!!!
mimi sijui,ninachojua ni kuwa aliamua mwenyewe kukatisha uhai wake;HOW?mimi sijuiHivi Kimambi alijiua kwa kunywa sumu au alijipiga risasi?