Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Dogo hujifanya smart sana....

Huyo dadake alikuwa wa kina Rostam na anaonekana anapenda mno wenye PESA!!!

Ila mtendwa hutendwa hawa waswahili wakiumizana mi sijali coz ni watu wasio kuwa na shukrani...

Sikutegemea ukaribu uliokuwepo kati ya Makamba Family na Lowassa hii family imdhalilishe kiasi kile na mwenzao asijibu kitu!!!

Waswahili sina huruma kwao and I really hate them!!!
lusungo chuki ni za shetani!
Lowasa hakuwa msafi na aliyekemea vitendo vyake hapaswi kulaaniwa ndio ukweli!
Na hata kinachofanywa na wengi dhidi ya familia ya Makamba leo hii kuhusiana na shutuma iliyopo sio juu ya chuki kwa familia yao, Bali kwa uovu huu ( if at all wakigundulika wametenda)!
Ukichukia anapoteza energy nyingi, na kumchukia mtu sana kunaharibu afya ya nafsi yako maana chuki zinauma, kwanini ujitengenezee jeraha bila ya sababu!
 
Mkuu Mange ana Siri zao nyingi sana hapa amebeep tu , mange alikuwa Rafiki mkubwa wa Mwanvita Kwa Kipindi kirefu tokea mwanvita hana cheo vodacom hadi akachepuka na Rostam Aziz akapandishwa cheo Ghafra hadi bodi ya voda wakalalamika ikabidi ahamishiwe South Africa ambapo alimnunulia nyumba huku mwanvita akichepuka na wengine humo humo , kuna mengi yanakuja vuta subra kidogo vinginevyo labda waamue kumpigia magoti Mange japo tokea jana January yupo na kamati za Ufundi kibao anahaha kila anga kutuliza mizuka ya Watanzania .
atajuta kuwa karibu na mtu fyatu kama mange kimambi! maishani mwangu huwa najitahidi nisiwe karibu sana na waswahili they are never good friends at all.
 
Nimeipendaa hii !!! Waswahili wanaseme mtoto akinyea kiganja hutoweza kukikata. Lakini kwa hili la makamba lazima utakata kiganja.
 
Hivi waswahili ni akina nani au ni watu wa aina gani?
Hii kitu kidogo inanipa shida aiseeee
Mswahili ni mtu wa pwani..."swahel" ni neno la kiarabu linalomaanisha pwani na ndo lililotoholesha neno swahili..

Hivyo basi watu wote waishio au watokao maeneo ya pwani (origin) ni waswahili.
 
Kumbuka Jk na Lowassa kwanza..kama aliweza kwa Lowassa kwa nini ashindwe..kwa Makamba..
 
Mlikosea kweli kumpa uongozi yule mswahili mkuu wa bagamoyo ndo alieharibu ilo taifa
Tulimpa mswahili msomi wa uchumi, ulitaka tumpe baba yako mgogo wa chilonwa? Darasa la pili la mkoloni, hayawani , nguruwe mkubwa
 
atajuta kuwa karibu na mtu fyatu kama mange kimambi! maishani mwangu huwa najitahidi nisiwe karibu sana na waswahili they are never good friends at all.
Mwamvita ndo aliinza kwa kuvujisha email alotumiwa na Mange kuhusu Mange kunanililiwa na jamaa mmoja wa kihaya,ndo maana Mange na yeye imekuwa rahisi kwake kuvujisha haya ya sasa
 
Wamuwajibishe
Watawajibisha kila mtuu tuache siasa za maji taka kama watu hawawezi siasa waache
Tatizo nchi za afrika kiongozi ndio dalali wa mali zetu kwa weupe
Baba ake kaacha hazina 2 ccm nazo ni mwanaye na nyingine ni MB mtera kama alivyokuwa akijisifia kuile dom
 
Majipu mengine yapo kwenye nyeti za mkwe sijui yatatumbuliwaje?
 
January hapambani na Mange
Mange ametumika tu

January anapambana na watu very powerful...

Swali hapa hao watu ni kina nani?
na hao watu January amewakosea nini?

"Serikali iliyopita ilikuwa ya kulindana"
- yes ilikuwa ya kulindana, ikakulinda pia ila mwenzetu hukupenda kabisa hayo mambo ya kulindana, ni matumaini kuwa bado hupendi kulindana na kulindwa, hiyo inakubidi uteme yote uliyolindwa, ubatizwe upya kwa moto wa tanuru uwe mtu mpya na maisha yako yawe mapya, mapya kabisa kama mtoto aliyezaliwa Leo!!!
 
Swali muhimu ni wanaofanya hivyo ni kwa faida ya nani???...Mlengwa ni Makamba au entire gov??

- Tulikuwa wote, tulifanya yote pamoja, tukanywa kula na kucheza dansi, Leo wenzetu nyie mmebaki huko ndani, ndio mmekuwa wa kutusulubu sisi na kutunyanyapaa kweli??? Kwakuwa tu mnayajua yetu, kwani sisi hatujui yenu??? Basi tuvuane tu wote, sie tushapoteza na hatuna zaidi cha kupoteza ila ninyi mnacho!!!
 
KIUKWELI, NIMEFIKIRIA NA NIKATAMBUA KUWA HII ISHU YA MANGE KIMAMBI IMEFIKA MAPEMA ZAIDI, ilitakiwa ifike tarehe 15 ma 16 hivi mwezi huu na eisodes azitoe taaaaratibu mpaka tarehe 25 hivi. Ila nina uhakika wamewaseti watu vizuri, watatoka tu nje ya reli, ni rahisi sana kucheza na akili za bavicha.
 
WAKUU KWANI MMESAHAU KUWA MUOSHA HUOSHWA?? WHAT COMES AROUND GOES AROUND?? MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI...
 
January Makamba ni wakala wa Dowans?

picture-75.jpg

Na Isaac Kimweri - Imechapwa 23 February 2011


Tafakuri
january_230.jpg

BABA wa Taifa Mwalimu Nyerere, katika moja ya hotuba zake alisema, ikulu ni mahali patakatifu. Alitumia neno ‘takatifu’ si kwa bahati mbaya. Kamusi inazungumzia neno hilo kama kitu kisichokuwa na dhambi, kilichotakasika.

Kwa maono ya Nyerere ni kwamba, mtu yeyote ambaye ana mawazo ya kwenda ikulu lazima wakati wote ajue mahali hapo ni pasafi, kwa maana ya matendo yake na mwenendo mzima wake ni lazima wakati wote uwe juu ya tuhuma.

Kukaa kwake ikulu kamwe kusihusishwe na dhambi yoyote, iwe ya kutenda mwenyewe kama vile ufisadi, au hata ya kusaidia kundi fulani katika jamii kutenda ufisadi au uchafu wowote.

Katika kutekeleza majukumu yake, Rais hakika hawezi kufanya kila kitu peke yake, atakuwa na wasaidizi. Hawa ni watendaji na washauri wa Rais; ndio wanaotekeleza kwa vitendo halisi yale yote anayoamua.

Haipendezi wala haivumiliki mtumishi wa umma ambaye anakaa ikulu, kwa maana ya kumsaidia Rais katika majukumu yake atajwe kwenye kashfa yoyote chafu; kwa maana ya mahusiano au uchafu wa ukwapuaji wa mali ya umma kwa njia za hila yeye binafsi au kusaidia kundi fulani la watu.

Kwa maneno mengine, wale wote wanaoteuliwa na Rais kumsaidia kazi ikulu, lazima waishi kama watakatifu ili matendo yao yasije kuchafua mahali patakatifu—Ikulu.

Kwa msingi huo huo, wale wote waliofanya kazi ikulu watokapo, ni vema wakaonekana wakiendelea na utakatifu huo, ili umma usije kudhania kwamba wakiwa ikulu walijifunza utukutu au ubazazi.

Haya yote ninayazungumza baada ya kumtazama kijana mwanasiasa January Makamba, mbunge wa Bumbuli na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini.

January akiwa amekaa ikulu chini ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete tangu 2006 hadi 2010, ni matarajio ya wengi ikulu ilimlea na kumkuza kisiasa na kukomaa kwa uadilifu, ili kokote atakakokuwa ang’ae na kubeba ile taswira ya utakatifu.

Kwamba January ameibuka kwa kasi katika anga za siasa nchini, si jambo la kustaajabisha, lakini pia kusema kwamba kupaa na kung’aa huko kumechangiwa sana na kukaa ikulu si kitu cha kubeza au kubishiwa na yeyote anayejua kupambanua mambo kwa mapana yake.

Kwa haiba, January anaonekana kama kijana mwerevu, mcheshi na anayethubutu. Alijitahidi kujinadi kwa njia mbalimbali kujipenyeza kwenye jimbo la Bumbuli lililokuwa limekaliwa na William Shellukindo tangu mwaka 1995.

Alifanikiwa kupitia njia halali za kura kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). January hakupata mpinzani kutoka vyama vya upinzani, kwa hiyo jasho lake lilitoka kwenye kura za maoni tu.

Nyota ya January iling’aa zaidi mapema mwezi huu alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Bunge ya Nishati na Madini. Kwa Kiswahili wanasema utuki yaani mambo yanayotokea kwa kufanana, nafasi ambayo pia alikuwa amekalia Shellukindo.

Kabla hata ya kuukwaa uenyekiti wa Nishati na Madini, alikwisha kumwandikia barua Waziri wa Nishati na Madini akilalamikia mgawo wa umeme, lakini pia alitaka ‘siasa ziwekwe kando’ katika kushughulikia suala hilo .

Barua hiyo, kwa njia ya ‘ki-spin doctor’ ilipenyezwa kwenye vyombo vya habari ilhali ilikuwa waraka kwa waziri kama ushauri juu ya umeme.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba January hakutaka kuchukua njia ya dhahiri ya kutaka kuiwajibisha serikali kama vile kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusu suala la umeme, ila alitaka njia za majadiliano ya ndani kwa ndani. Lakini cha ajabu barua yake iliibukia kwenye magazeti!

Muda si muda, January alivunja ukimya juu ya mitambo ya Dowans; alisema wazi kwamba alikuwa anaishauri serikali kuwashwa kwa mitambo hiyo, huku akijikinga kwenye jukwaa la ‘kuacha siasa katika masuala ya kiutendaji’.

Hoja hii, duru zinasema, ilipowasilishwa kwenye kamati yake, ilikumbana na kizingiti kikali. Mmoja wa wabunge walimtaka atangaze maslahi yake kwa jinsi alivyokuwa analisukuma suala la Dowans kwa hisia na nguvu kubwa.

Hakuna Mtanzania anayefuatilia masuala ya nchi yake asiyejua Dowans. Dowans ni mrithi wa mkataba wa Richmond ambao uliangusha baraza la mawaziri mwaka 2008. January alikuwa ikulu wakati kadhia hii ikitokea na kwa hakika alijua vilivyo hali hii ilivyomwathiri Rais wake.

Lakini pia January shaka anajua vilivyo kuwa Dowans ina kesi na TANESCO juu ya kulipwa fidia ya Sh. 94 bilioni, ambazo kila Mtanzania ameipinga; taifa limeingia taharuki kubwa juu ya fidia hii iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Ushuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC). Umma una hasira na jazba papo! January anafahamu haya yote.

Kubwa zaidi, January anajua kuwa kuna mapingamizi yamewasilishwa Mahakama Kuu juu ya hukumu hiyo, na kwa ujumla wake kuna mambo mengi yenye wingu zito nyuma ya mkataba wa Dowans kwa sababu ‘uliporwa’ kwa Richmond katika mazingira ambayo TANESCO hadi leo wamepigwa butwaa.

Kwa maana hiyo, ingawa Dowans walizalisha umeme wa megawati 100 bado haijawa halali kwa Dowans kudai kuwa ni kampuni safi kwa sababu njia waliyoingilia nchini imejaa mbigiri na michongoma michungu.

Binafsi naamini kwamba January ambaye ni mwerevu na kijana jasiri anaielewa historia hii, lakini tatizo linaloibuka sasa ni pale anapojaribu kujitia eti anajenga zama mpya za siasa za Tanzania kwa kushindwa kujua kuwa historia ndiyo inayofinyanga kila kitu katika maisha ya binadamu.

Histioria ya kukaa karibu na waridi ndiyo imemfinyanga January kuwa hapo alipo leo; hizi ni pamoja na nafasi ya Baba yake, Yusuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM tangu mwaka 2007; pia kuwa msaidizi wa Rais Kikwete, masuala ya hotuba.

Ni kwa maana hiyo tunamkumbusha January kwamba hawezi kukwepa historia ya Dowans kama ambavyo hawezi kukwepa historia yake mwenyewe.

La mwisho ambalo ndilo linalobeba muktadha wa uchambuzi huu ni juu ya historia ya kufanya kazi ikulu na utakatifu; kwamba kazi anayoifanya sasa ni kama mtu aliyepewa kazi maalum ya kutumwa kusafisha Dowans.

Kusaidia malipo yatoke; kuhalalisha biashara yake na TANESCO, ndiyo maana ya lugha ya ‘kuacha kuingiza siasa katika mambo ya utendaji’. Hii ni kauli ya kutaka kufunika kombe ili mwanaharamu Dowans apite.

Ni nguvu za nani zinamsukuma kufanya haya yote kwa kisingizio cha ‘siasa mpya za kutokuingilia watendaji?’ Ushauri wa bure ni huu, January punguza kasi utashika kaa la moto mapema mno.
 
Au ndio maana January hakurudisha mapema zile fomu? yaelekea ana vitu vingi ambavyo hajui aandike kipi na kuacha kipi na ambavyo vimepatikana isivyo halali. MZEE MAKAMBA YUPO?
 
Huu Utetezi wako hauna Mashiko nadhani haujasikia Yale maongezi Yao , pesa haikutoka kwenye mapenzi bali ni Ahadi ya kupewa Tenda Bandari ya Bagamoyo , Kama ni pesa ya kuhongwa mbona Rostam Aziz , Rais wa Kenya na wa Zambia wamewahi kuchepuka naye na amewafanyia vituko Kwa kuchepuka na Daimond na Sasa anachepuka na Sheria ngowi , wewe unawatetea watu ambao hawabebeki tena unajisumua bure, Watanzania wa Sasa sio bongo lala wapo makini sana wanawajua hao Vijana kuwa ni wezi na matapeli wa kimataifa hata uje na utetezi gani haitasaidia kuwasafisha.

Kwakifupi wanasema Mange malaya lakini birds of the same feathers do fly together, ni kwakuwa tu Mwami amebebwa na watu walio kwenye system ndio maana ana immune ya word 'malaya'.
 
Back
Top Bottom