Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Huyo jamaa nadhani ametapeliwa mwaka 2011/12 na kama angekuwa na ushahidi angekuwa ameenda mahakamani.

Kwa kifupi, tapeli ametapeliwa!
Katika Rushwa kosa ni kutoa na kupoke rushwa. Sasa mtoa rushwa (Kuku mgeni) aende mahakamani tena mahakama ya Kunguru na anaeshitakiwa awe Kunguru atageuziwa kibao kuwa yeye mwenyewe ametoa rushwa. Na hao kunguru walomtapeli wanaruka na utajiri wao wa dezo
 
January Makamba hana kosa na wala hakuna kesi.

Huyo mzungu kama ana madai aende Mahakamani.
Tatizo mulio wengi munadhani tuko kwenye kampeni za kisiasa. Huyu ni public figure aliyepewa dhamana ya kukaa ofisi ya serikali. Leo hii munachochea arudi ofisini kwa kudhani tabia yake itaishia kwa huyo mzungu na dada yake muhuni tu! Iko siku sasa atawakamua wa TZ kwa mazoea yake.
 
Hakuna aliyekamilika, kitendo cha yeye kufikia ngazi ya uwaziri c kitu chakubeza. Mwisho wa siku kila mtu anamtazamo wake. Naheshimu mawazo yako.

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app

Uwaziri! Hujui kwamba Idd Amin alikuwa Rais? Huji kwamba Sassou Nguesso na Bokasa walikuwa ma-rais pia? Siyo suala la ubora wa akili, Hata mpuuzi iko siku anafanikiwa, lakini atarudia upuuzi tu!
 
Uwaziri! Hujui kwamba Idd Amin alikuwa Rais? Huji kwamba Sassou Nguesso na Bokasa walikuwa ma-rais pia? Siyo suala la ubora wa akili, Hata mpuuzi iko siku anafanikiwa, lakini atarudia upuuzi tu!
Hata hao unaowataja kuna moja zuri wamefanya. Na hakuna mahali tumezungumzia akili za watu. Mchango wako unaheshimiwa kama kawaida.

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
 
Bufa, trd ni nyingi juu ya Januari I hope umesikia sasa mahojiano yake na mwandishi. Kama bado silkilizia hapa;


Nadhani unaona ukweli kwamba Januari na dada yake wana mambo ya pamoja. Anafahamu hata msg za matusi kwa dada yake. Mahojiano haya hatumuoni Januari usoni lakini voice tonation inaonyesha wazi anafahamu mengi juu ya dada yake. Anakumbushia hata ukweli wa ile msg ya zamani dada mtu akimuombea pesa kaka yake kwa hawala. Na dada yake alisema wazi kungekuwa na faida ya kimaslahi!

Januari yuko desperate kujiokoa tu.

I beg your conclusion on this.
 
U have missed not just the boat but the whole monsoon wind
The big No, I`m still in the same boat. Hapa hatuangalii nani kasema kuwa kuna issue ya rushwa au ufisadi tunachoangalia ni ukweli wa habari.Mwisho utasema ile kauli ya kuwa baadhi ya mawaziri walikuwa hawajarudisha fomu za kuonyesha mali walizonazo ilikuwa ni kutaka kuwaharibia mawaziri wa JPM. Kama kimambi kasema ukweli na ushahidi upo basi sheria ichukue mkondo wake.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Makamba ingekua nchi inafata democrasia ya kweli na utawala bora wa sheria basi huyu angekua tayari sio mbunge ile siku mgombea wa Ukawa alipojitoa kwenye kinyanganyiro kile katika mazingira ya rushwa...
Tungekua na takakuru madhubuti basi yeye na wote wale walofanya vituko hivo hawakufaa kuwa wabunge kwani wametumia mbinu chafu na ni rushwa tu kujipatia ubunge...na ndio hizi fadhila sasa huwa zinatumbuka
 
The big No, I`m still in the same boat. Hapa hatuangalii nani kasema kuwa kuna issue ya rushwa au ufisadi tunachoangalia ni ukweli wa habari.Mwisho utasema ile kauli ya kuwa baadhi ya mawaziri walikuwa hawajarudisha fomu za kuonyesha mali walizonazo ilikuwa ni kutaka kuwaharibia mawaziri wa JPM. Kama kimambi kasema ukweli na ushahidi upo basi sheria ichukue mkondo wake.
Ukingalia quote ya John akimjibu The Boss ilikuwa imebeba sarcasm,bahati mbaya ukaichukua at face value.Ndicho nilichokuwa nakuonesha hapo.
 
Yap yap braza!!!

Then binti ana hasira na January kwa kutolipwa hela ya mradi wa kumchafua sana EL maana walimtumia pia....

In short dada anatumika kama condom!

Mmmh mbona Mange na kina January hazipandi tangu kitambo sasa how comes huyo January awe alimtumia Mange kumchafua Lowasa... na wakati kuna time kuelekea uxhaguzi alisweka rumande hao hao walikua behind ya yeye kuswekwa rumande


Maybe kama kuna mtu mwingine alikuwa behind ila sio January
 
mkuu huyo kijana ni Mshirikina hakuna mfano Kipindi cha kampeni aliwaleta mseto wa waganga wa kienyeji toka Gambia, Amazon, Mongolia , Senegal na Nchi nyinginezo kibao anajulikana kwenye anga hizo kamrithi baba yake .
Hatareeeee!!!
 
Kwa audio ya Mange utaona kuwa hakuna la maana katika maongezi yale na JM kafafanua vizuri.

Sasa kupitia sakata hili, utaona maadui wa Makamba maana pasipo hoja watamshambulia.

Mtu anakula dada yako, wanaongea mengi huko, shemeji sasa anashinikiza umfanyie feva flani, umeshtuka anakuzushia fitina
Nilikuwa najua makaka wanao UZA dada zao ni wale wa kipato cha chini angalau wapate hela ya sukari na kitumbua siku ianze, kumbe hata wale wa matawi ya juu hufanya haya? Kweli mswahili hata ukimtoa TANDALE umpeleke MASAKI wanahama na tabia zao. Aibu aibu yao hata MMakambas?!
 
Leo mnamuona Mange kichaa!! Alivyokuwa anamtukana Lowasa alikuwa timamu?? Vumilieni MWIBA UNATOLEWA SEHEMU ULIPOIINGILIA
so kumbe nguvu ya mihemko ya kisiasa ndio inatawala huu mjadala na sio kutafuta uhalisia, hakuna mashiko kumbe ni ujinga mtupu.
 
Kwanza pole sana brother! Siasa ndivyo ilivyo, pia hongera sana kujipatia umaàrufu mkubwa nchi nzima kufikia jina lako kujadiliwa nchi nzima.


Mimi nilikua kati ya vijana wanaofurahishwa na uthubutu wako katika siasa za nchi yetu tangu mwanzo. Ila kwa sasa hapana, ni ngumu mno kumeza!


Kwakweli kwa majibu uliyotoa kuhusu habari iliyoenea kwenye mitandao ya kijamii kua wewe na dada yako Mwamvita mlimtapeli Mzungu mwitaliano milions of USD kwa kumdanganya kua mtampatia tenda kwenye miradi mikubwa nchini kwa sababu ya nafasi yako serikalini! Majibu yako yanadhihirisha kua ni kweli ulipokea pesa kutoka kwa huyo mzungu, pamoja na kua umezitumia kwa miradi ya maendeleo lakini njia ya kuzipokea hizo pesa haikua halali kwa kiongozi mwandamzi serikalini kama wewe! Hii ni kwa sababu mpaka sasa mhusika aliyetoa hizo pesa inaonesha kua bado analalamika kua hamjamtendea haki! ni kama ametapeliwa hivi.


Kwa mujibu wa katiba ya nchi kimaadili hasa kwa kiongozi wa umma tena mwandamzi umefanya kosa kubwa sana. Haihitaji kulijadili sana maana watoa taarifa au waliofichua kashfa hiyo wamedisplay kila kitu kuhusu mawasiliano yeñu na huyo mzungu.



Kimsingi wewe bado ni mwanasiasa unayechipukia, ni mapema kwako mno kuanza kuingia kwenye kashfa nzito kama hizi, achia ngazi kulinda heshima yako mkuu! bado unayo nafasi ya kujipanga upya kutokana na umri wako, kuendelea kujibu tuhuma huku ukweli umewekwa kwazi tena kwa sauti na emails utaharibu na utaendelea kusababisha kuibuliwa mengi kuhusu wewe brother. Binafsi nadhani kwa sasa kuna wanaokufahamu in ana out wanaweza kukuibulia makubwa ni bora tu kuachia ngazi nakuheshimu sana brother.


Haya nadhani tayari yako kwenye mikono ya Bwanamkubwa anayachuja! Alishasema hahitaji mambo ya tume anapenda kumwajibisha mtuhumiwa moja kwa moja, sasa angalia kaka usikuze mambo kama kuna ukweli juu ya hili na nafsi yako inakusuta basi achia ngazi, kama unasinguziwa basi una haki kikatiba kuusema ukweli umma utambue kua unachafuliwa.


Ni hayo tu ahsante.
 
Muitaliano alianzisha uhusiano na hawa dada zetu kwa malengo ya kujinufaisha kiuchumi. Kwa kuwa Mwavita anao uhusiano wa karibu na viongozi wengi serikalini Muitaliano alimuona kuwa ni "asset" hivyo alitaka amkutanishe na viongozi
Baada ya kubaini malengo ya Muitaliano kuwa hayana tija kwa taifa Mwavita hakutoa huo ushirikiano. Hapo uhusiano ukalegalega. Ndipo muitaliano akaanza kurekodi maongezi yao kwa malengo yake.
Pia Mutaliano na Mwavita walichanga mtaji wa biashara ya kahawa ambayo ilifilisika na kubaki Mwavita akidaiwa kiasi cha fedha kama m 25. Kwa kuwa alichelewa kulipa na Muitaliano yupo katika hali ngumu ya kifedha, alianza "kumblackmail" Mwavita kuwa ataanika mambo mtandaoni.
Tushukuru kuwa sasa Muitaliano amemaliza silaha yake ya msaada ya kuwazuru Watanzania waliokwepa udhalimu wake.
Nitakuwa tayari kubadili msimamo wangu kadiri hoja nzito za upande mwingine zitakavyojitokeza. Fikra zangu nyumbufu kama mzani au kapani zinageuzwa kwa uzito wa hoja na si ushabiki.
 
Yaani kuna mtu mwenye akili timamu anayemuamini huyu mwanamke anayemshauri Wema kutafuta wanae wenye pesa badala ya kumshauri kutafuta pesa zake?

Huyu usikute ana ugomvi au wivu na huyo Mwamvita tu halafu watu wanaingia kichwakichwa

Maana oflate amekuwa mtu wa kutengeneza e-mail na akaunti fake kwenye mitandao na kudanganya watu na hata kutukana watu.

Kiufupi ni Psychiatric huyu haaminiki

Kipindi cha uchaguzi mkuu alkua akitukana watu kwa tuhuma za uongo.Ni mtu wa ovyo ovyo sana
Taarifa yoyote ifanyiwe kazi kwanza,hata wahalifu eakiona taarifa zinapuuzwa,watakuwa,majasiri wa kutoa taarifa za matukio kabla hawajafanya halafu wakiyatekeleza ndiyo watu wataanza kulaumiana na kutumbuana.
Taarifa ni taarifa,hakuna ubaya wa kzifanyia kazi,kama hazitakuwa za kweli,wahusika watatoa tamko.
Matishio na uvumi ni vitu vya kuvifanyia kazi,kwani kuna ubaya gani?
 
Nikiangalia hili suala ya January Makamba na Mtaliano.
  1. Takukuru na police walitakiwa wawe wameshaanza uchunguzi wao.
  2. Takururu na police lazima walitakiwa watowe tamko na sio kukaa kimya. Wananchi wanataka kujua kama January ni untouchable au wanangojea amri jeshi mkuu hatowe amri ya kuanza uchunguzi.
  3. Rais alitakiwa asimamishe kazi January ili uchunguzi ufanyika.
  4. Police walitakiwa watowe motisha kwa watu wengine walio na infomation kama za mtaliano wajitokeze kwani kwa uzoefu wangu kama ni kweli huyu mtaliano ni moja kati ya mamia waliolizwa na January. January hajaanza huu mchezo na mtaliano tu kuna wengi zaidi.

Hivi vyombo vya usalama vinatakiwa viwe
 
Nikiangalia hili suala ya January Makamba na Mtaliano.
  1. Takukuru na police walitakiwa wawe wameshaanza uchunguzi wao.
  2. Takururu na police lazima walitakiwa watowe tamko na sio kukaha kimya. Wananchi wantaka kujua kama January ni untouchable au wanangojewa amri jeshi mkuu hatowe amri ya kuanza uchunguzi.
  3. Rais alitakiwa asimamishe kazi January ili uchunguzi ufanyika.
  4. Police walitakiwa watowe motisha kwa watu wengine walio na infomation kama za mtaliano wajitokeze kwani kwa uzoefu wangu kama ni kweli huyu mtaliano ni moja kati ya mamia waliolizwa na January. January hajaanza huu mchezo na mtaliano tu kuna wengi zaidi.

Hivi vyombo vya usalama vinatakiwa viwe
saa hizi alipaswa awe kizuizini
 
Huenda ashatafutwa

Ukiwauliza watasema hawafanyi kazi na mitandao. Ila kuna kijana alisema cdf kauwawa hapaha mitandaoni nadhani unajua kilichomkuta. Kichekesho zaidi polisi wanataka taarifa za watonyaji hapa jf!!?
 
Back
Top Bottom