Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Happy Mother's and International woman's day...
 
MAN MAJA, MZEE WA KUTUMBUA MAJIPU. LEO UKWAPI? JIPU HILI. NYERERE ALIPOSEMA HIZO KAZI NI ZA WATAKATIFU HAKUKOSEA. MAKAMBA KINDLY GO.
 
You are a Great thinker of our times!! kimsingi utagundua kuwa kwa hulka ya yule binti Mange kimambi kamwe asinge jua kitu kama kile halafu akae kimya! akengekua amesha ropoka siku nyingi sana. hicho kitu kapenyezewa na watu wa karibu na ile familia iliyo maliza utawala wake.unajua hawajui tu hii kitu inako elekea kuwa ni zaidi kuvuana nguo.Yawezekana kuwa ni kweli ule mpango Makamba alikuwa anaufanya lakini alitumwa!! mwisho wake ni mbaya kwelikweli ila waswahili huwa hawana aibu.waacheni waumbuane tufaidike kujua mengi.
Mkuu Mange ana Siri zao nyingi sana hapa amebeep tu , mange alikuwa Rafiki mkubwa wa Mwanvita Kwa Kipindi kirefu tokea mwanvita hana cheo vodacom hadi akachepuka na Rostam Aziz akapandishwa cheo Ghafra hadi bodi ya voda wakalalamika ikabidi ahamishiwe South Africa ambapo alimnunulia nyumba huku mwanvita akichepuka na wengine humo humo , kuna mengi yanakuja vuta subra kidogo vinginevyo labda waamue kumpigia magoti Mange japo tokea jana January yupo na kamati za Ufundi kibao anahaha kila anga kutuliza mizuka ya Watanzania .
 
Niliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....

January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!
Kaka Waitaliano ni balaa.Amecheza na Mzinga wa Nyuki ngoja alambe kichapo cha nyuki kwanza.Nyuki wenyewe hata asali hawana
 
Hairless buddy anangoja mini kujiuzulu? Mkuu wa kaya tafadhali ondoa huyo mtu.
 
fuatilia maisha yako wewe..kama ni pesa zimepigwa na wewe tafuta mjinga wako kampige bwege we utakufa na ufukara wako
Bila shaka wewe ni mjomba wa makamba maana jina lako linasadifu upande wa mama kwa makatani jumia
 
Ngoja wengine tunyamaze.Ila ile sheria ya dhahabu ni noma...Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako...Leo yamemrudi mabichi..
 
What what what
? [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
picha ya nini nyie wehu january kashasema amepewa ela na dada yake kuna ubaya gani..nendeni mkamdai dada yake hizo pesa kama mns uchungu san na hizo ela za huyo mzungu koko
Kwahiyo wwe kila analosema January waliamini!?? Ni MUngu wako huyo!?? Alete ushahidi sio maneno tu. Mwenzake anarusha data kamili
 
Kunaweza kuche na taarifa za msiba wa ghafla [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama ule msiba wa Mkurugenzi wa Maswa, kusikia kesho Majaliwa anakuja basi shinikizo na kukata kamba kabisa
 
Poor January ....jamaa washafanya yao ....sasa wakalaumiane kitaa na uzuri JK kimyaaa ....
 
Sasa jamaa akienda mahakamani Si naye ( mtaliano) atahukumiwa kwa kosa la kutoa rushwa?
 
Hiki ni kiswahili au ni Lugha gani ? Mwambie boss wako January akufundushe Kiswahili kwanza ndipo pia akufundishe na jinsi ya kumtetea ! Huu utetezi wako hautasaidia Watanzania kuacha Imani kuwa January na mwanvita ni wezi na matapeli wa kimataifa .
Sitarajii uelewe maana ya ninachokiandika, you are too young to Tango.
 
Basi tudili na Mwamvita tu, kwa kuwa ametumia Mapenzi(kama Delila kwa Samson). Tumuache January Makamba.Kwa sababu kwa akili kubwa yeyote January hausiki, uwezi kumgusa kwa sababu Issue ni ya Mwamvita,January Makamba alisaidiwa hakuna connection ya January na Muitaliano(haipo kwa mwenye akili). Kama Delila alimuhaidi Samson kumpa Gaza ya Wafirist katika Mapenzi yao, Basi itakua kazi ya Samson(Muitaliano) Kudhibitisha Mbele ya Mfalme Dashon(Raisi wa Bongo) kwamba Mkataba uliokua, ambao sasa haupo wa Mapenzi ulihiusu bandari ya Wafiristi ya Ashkeloni(Bagamoyo).Ata uite au uwafufue Wanasherie wa Himaya iliokua Rumi ya Zamani hawatasibitisha ng'ooo.
 
Gift given in form of love,cannot enforced under the court of law(Zawadi iliotolewa katika mfumo wa hisia za mapenzi, kumsaidia mpenzi au walio karibu na Mpenzi, haina uhalari mbele ya mahakama za kisheria). Muitaliano Alimpa Mwamvita pesa katika nasaba ya Mapenzi, alaf Mwamvita akamsaidia Kaka katika siasa, hapo Muitaliano kapotea maana hawezi kuidai kisheria zaidi ya kumfata Mwamvita amsadie. Ata Mimi shemeji nilipokuwa nasoma, alimpa Dada ada, na Dada alinilipia, kwahiyo shemeji hawezi kuja kunidai Mimi ada alizolipa kwa sababu Dada amempiga chini, waongee na Dada wamalizane huko wasinichafue.Makamba piga kazi ,hayo ni mapito tu.
Kuwa mpole leo had sa nne usiku utapata ushahidi wa kutosha Mange anajipanga vizur jion atakuwa Los Angles ataleta ushahidi wa kutosha ndio utajua mbivu na mbichi. Naweza kubet hata kama January alikuwa kampeni meneja wa JPM kwenye sakata hili hatoki kwa vyovyote vile.

Duc in Altum
 
Tusubiri ushahidi haujatolewa wote
Halafu kuna kitu watu hawa kielewe na hii si kwetu laymen peke yetu bali wasomi na watawala wetu.
Wengi hudhani nchi inapaswa kuendeshwa kwa mfumo wa kimahakama, ndiyo maana kwenye issues kama hizi huwaoni wakiuliza logic behind bali huwa busy kuuliza ushahidi. Wanasahau kuwa nchi mbali kuwa na utawala wa sheria (mfumo wa kimahakama) inahitaji pia utawala bora.
Wanajua namna ya ku temper na sheria na kuzi twist watakavyo ndiyo maana wanafanya mambo ya ajabu, lakini katika utawala bora ni suala la ustaarabu na kuheshimiana bila kujali na kuchukua advantage ya upungufu uliopo katika sheria.
 
Mkuu yani hapa JF ndio kipimo tosha cha IQ za wabongo huyu Mange ana stress zake za maisha basi kazi yeye ni kutukana tu mitandaoni na wabongo bila kuyapima wanayabeba kama yalivyo sasa Makamba na Bandari ya Bagamoyo vinahusiana nini? Kama maisha yamemshinda huko ughaibuni arudi tu bongo mbona LE MUTUZ karudi na maisha yanasonga kama kawaida.
Nyie kweli majipu mapya.Mwamvita na January wameshajibu,wamekubali kwa namna moja au nyingine,nyie mawakala ndio mmeshupaaa
 
Back
Top Bottom