NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,915
leo tunamzunguzia makambas hilo la kubenea anzisha uzi wake.erevu laoKubenea alitumia kiasi gani kumtukana lowassa?
leo tunamzunguzia makambas hilo la kubenea anzisha uzi wake.erevu laoKubenea alitumia kiasi gani kumtukana lowassa?
Mkuu kuna usemi usemao MALIPO NI HAPA DUNIANINimefikiria sana na muda wote nimewaza nikaja kujua Lowassa ni Mwanaume halisi.
Yote yanayopikwa ni propaganda za waswahili l.
Fikiria kwa makini utaelewa
He may not be totally finished but at least he is doneAbsolutely, dogo alivimba kichwa na kuanza kuongea upuuzi ila kwa sasa Political carrier yake imesha oza hana pa kujishikiza tena. He is finished.
Bora kufa na ufukara kuliko kujipatia utajiri kwa njia za udanganyifu na utapeli..na aliyetoa pesa yake pia hakuwa bwege au mjinga kama unavyofikiria..aliwaamini hao jamaa zako mpaka kufikia kuwatumia fedha..kumbuka what goes around ,comes around..fuatilia maisha yako wewe..kama ni pesa zimepigwa na wewe tafuta mjinga wako kampige bwege we utakufa na ufukara wako
Na kama ni kweli huyo makamba afukuzwe kazi na afungwe miaka 30 jela na kazi ngumuKama si kweli basi huyo dada aliyeandika hiyo kashifa wamchukulie hatua kali kwa mjibu wa sheria ya makosa ya mtandao ili iwe fundisho kwa watu wa aina hii!
Sina haja ya kumuuliza Magufuli,nakuuliza wewe uliyepost hilo hapa ili utupe uthibitisho.Muulize Magufuli kipindi cha uchaguzi mkuu msaada wa January Makamba
Unaweza ukawa sahihi lakini unasahau kuwa alipewa na muitaliano ili aje kupewa deal za ujenzi wa maeneo mbalimbali... mapenzi yalitumika kuwakutanishaGift given in form of love,cannot enforced under the court of law(Zawadi iliotolewa katika mfumo wa hisia za mapenzi, kumsaidia mpenzi au walio karibu na Mpenzi, haina uhalari mbele ya mahakama za kisheria). Muitaliano Alimpa Mwamvita pesa katika nasaba ya Mapenzi, alaf Mwamvita akamsaidia Kaka katika siasa, hapo Muitaliano kapotea maana hawezi kuidai kisheria zaidi ya kumfata Mwamvita amsadie. Ata Mimi shemeji nilipokuwa nasoma, alimpa Dada ada, na Dada alinilipia, kwahiyo shemeji hawezi kuja kunidai Mimi ada alizolipa kwa sababu Dada amempiga chini, waongee na Dada wamalizane huko wasinichafue.Makamba piga kazi ,hayo ni mapito tu.
Mkuu upo njema sana,saluteKilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeehWe mavi waswahili ndo akina nani? Au unamzungumzua raisi wako maana ndo anayeweza kiswahili tu
Sasa tumeanza kujua kuwa ndani ya ccm hakuna aliye msafiNiliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....
January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!
Huyo aliyesema hivyo hajielewi;kasahu kuwa Lowasa nae kuanzia 2005 ALIKUWA KAANDALIWA AWE RAIS 2015?ila kilichotokea humo njiani wote tunakijuaUna maana gani kusema ni hazina kubwa? Hebu thibitisha hilo.
Ebu chukua bonge la like kuuubwaaaaaaa[emoji122] [emoji122]CCM HAKUJAWAHI KUWA NA MTU MSAFI!
Kazi Ngumu huyu labda atapewa kazi ya kupanga mafail hospital ya muhimbiliNa kama ni kweli huyo makamba afukuzwe kazi na afungwe miaka 30 jela na kazi ngumu
Lumumba kunateketea sasaUSIKU WA LEO UNAROGEA SEHEMU GANI WANGU?!
Lowasa againDogo hujifanya smart sana....
Huyo dadake alikuwa wa kina Rostam na anaonekana anapenda mno wenye PESA!!!
Ila mtendwa hutendwa hawa waswahili wakiumizana mi sijali coz ni watu wasio kuwa na shukrani...
Sikutegemea ukaribu uliokuwepo kati ya Makamba Family na Lowassa hii family imdhalilishe kiasi kile na mwenzao asijibu kitu!!!
Waswahili sina huruma kwao and I really hate them!!!
He is fineshed na ukizingatia na UVCCM nao wamemvalia njuga yaani ndio Baasi tena.Safari hii January kupatikana licha ya kukwepa Kipindi chote cha JK ambapo alitunga sheria za Mitandao ili kujilinda na maovu yake , mwaka huu atairoga mpaka JF akumbuke kifo cha nyani miti yoote huteleza.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh hiyo ndiyo kazi ngumu na ya kutoa fundisho kwa wenzake ili wasirudie kufanya ufisadiKazi Ngumu huyu labda atapewa kazi ya kupanga mafail hospital ya muhimbili