Waswahili utawajua kwa musemo yao wawapo majukwaani mfano,, watu wanasema safari hii mzee wa Msoga hachomoki,, kwani mimi nilichomeka nini?
Au utasikia Ukinda kula kula ipo siku nawe utaliwa alafu baadae atakanusha kuwa baada ya watu kuishangaa kauri hiyo kwa kusema ,,sina maana hiyo mnayoifikiria jamani,,
Hao ndio waswahili bhana wanajua kucheza na Lugha yao ya kiswahili,, mwingine aliwahi kusema ,, Uchumi mnao nyie mbaukalia tu,, uzeni vitumbua vyenu mpate pesa,,,haaaaaa,, teh teheeee hao ndio waswahili bhana neno lake moja linaleta maana zaidi ya tatu.