Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Rais magufuli, huyu January atanyongwa kwa kuiuza nchi? Tafadhali fanya chini juu, jipu hili.
Mkuu yani hapa JF ndio kipimo tosha cha IQ za wabongo huyu Mange ana stress zake za maisha basi kazi yeye ni kutukana tu mitandaoni na wabongo bila kuyapima wanayabeba kama yalivyo sasa Makamba na Bandari ya Bagamoyo vinahusiana nini? Kama maisha yamemshinda huko ughaibuni arudi tu bongo mbona LE MUTUZ karudi na maisha yanasonga kama kawaida.Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.Hata saa mbovu husema ukweli mara mbili katika saa 24
Cc; SAA MBOVUHuyo muitaliano alijua hayo?? Ye kaambiwa kaka angu mtu mkubwa ukitaka unapata akaamini!! Kumbe kakutana na mapapaa msofee!! Ukimuongela Mange kumbuka hata saa mbovu husema ukweli mara mbili ktk saa 24
Halotel je?Hapo Mange ametoa episode 1... Tusubiri full season ya hili fisadi.
eti vinahusiana nini?subirini more evidences to come ,tulieni dawa iwaingieMkuu yani hapa JF ndio kipimo tosha cha IQ za wabongo huyu Mange ana stress zake za maisha basi kazi yeye ni kutukana tu mitandaoni na wabongo bila kuyapima wanayabeba kama yalivyo sasa Makamba na Bandari ya Bagamoyo vinahusiana nini? Kama maisha yamemshinda huko ughaibuni arudi tu bongo mbona LE MUTUZ karudi na maisha yanasonga kama kawaida.
Majungu katika muktadha upi??Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.
Ungesikiliza clips tu unajua huyo njemba sio mtaliano...lafdhi yake ya ki Nigeria au South Africa.Mkuu inawezekana unajua sana. HEBU TUAMBIE UKWELI.
Mkuu kwa hili la Makamba katoa na Audio jinsi Mtaliano anavyodai pesa zake baada ya kupigwaYaani kuna mtu mwenye akili timamu anayemuamini huyu mwanamke anayemshauri Wema kutafuta wanae wenye pesa badala ya kumshauri kutafuta pesa zake?
Huyu usikute ana ugomvi au wivu na huyo Mwamvita tu halafu watu wanaingia kichwakichwa
Maana oflate amekuwa mtu wa kutengeneza e-mail na akaunti fake kwenye mitandao na kudanganya watu na hata kutukana watu.
Kiufupi ni Psychiatric huyu haaminiki
Kipindi cha uchaguzi mkuu alkua akitukana watu kwa tuhuma za uongo.Ni mtu wa ovyo ovyo sana
hahahahaha Hata Sepp Blatter baada ya kugombana na MICHEL PLATIN,ilibidi Blatter nae ambalast Platin kuwa alimtumiaga euro milion moja,hiyo ikamfanya Platin nae achungunzwe na hata kufungiwa na hakugombea urais.Hapa kinachomatter ni kuwa habari ni ya kweli,ugomvi wao umerahisisha tu sisi tumepata kujua mauozo.March ni mpokea rushwa.Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.
Ungesikiliza clips tu unajua huyo njemba sio mtaliano...lafdhi yake ya ki Nigeria au South Africa.
Tafuta wataliano wakiongea ki english utajua hizo cilps zime editiwa kuchafua watu.
Na sauti hizo mbili haziendani moja ya huyo njemba ni live na nyengine ni ya audio au simu.
Zaidi njemba he is not mtaliano....
Sauti tu inajulisha hilo ni tapeli fulani la nigeria .
kWA NIGERIA UMENOWA,HAWANA LAFUDHI YA HIVYO.hUYO NI MUITALIANO KABISA?YAP SAUTI NYINGINE NI SIMU NI KWELI KABISA?MAANA WALIKUWA WANAWASILIANA KWA SIMU NA MZUNGU NDO AKAREKODIUngesikiliza clips tu unajua huyo njemba sio mtaliano...lafdhi yake ya ki Nigeria au South Africa.
Tafuta wataliano wakiongea ki english utajua hizo cilps zime editiwa kuchafua watu.
Na sauti hizo mbili haziendani moja ya huyo njemba ni live na nyengine ni ya audio au simu.
Zaidi njemba he is not mtaliano....
Sauti tu inajulisha hilo ni tapeli fulani la nigeria .