Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
Watumbua Majipu Wanapo Tumbuliwa
****
HII NDIYO FAIDA YA MITANDAO HURU /
MAOVU YANAFICHULIWAAAA...!!
*NA VIONGOZI WAKUU WANAPATA KUJUA,AU WANGELIJUAJE?
Mleta mada unaonekana div 5 toa habari ya kueleweka na sio utuambie ooh mage kinambi sijui kafanyaje oh nn be straight. .....Kuna Dada mmoja machachari sana asie Na hata lepe LA woga anaitwa mangekimambi hatimae Leo ameanza kutoa maelelzo yenye ushahidi huko Instagram kuhusu ufisadi WA January Makamba akishirikiana Na Dada yake Mwamvita Makamba
Inasemekana wamekua wakiwahadaa wawekezaji WA kimataifa kua watapata deal za kaz serikalini Na kuchukua pesa Na badae deal izo kufail....yapo mengi wengne wataongeza....ni hatari
Hahaa..amagusa penyewe ,mange kimambi ni kama samaki anaye mla samaki mwenzake...Mleta mada unaonekana div 5 toa habari ya kueleweka na sio utuambie ooh mage kinambi sijui kafanyaje oh nn be straight. .....
January walianza nae tangu kwenye uwaziri akawapiga 3-0 wakaja kwenye account yake ya IG Magufuri akampa shavu sasa wana haha kumchafua walifanya hivyo hata kwa Muhongo. Narudia akuna kazi za kiusalama zina fuatilia majungu.Wakati ni mwamuzi wa haki!! At the end of the day itafahamika tu
Waswahili walisema Lisemwalo......
Na Adhana husikika misikitini
Wait and see tutakuja kuufukua huu uzi kama ilvokuwa kwenye thread zingine watu wakadai ni majungu!! Mwishowe wanakuja kukataa maneno yaoJanuary walianza nae tangu kwenye uwaziri akawapiga 3-0 wakaja kwenye account yake ya IG Magufuri akampa shavu sasa wana haha kumchafua walifanya hivyo hata kwa Muhongo. Narudia akuna kazi za kiusalama zina fuatilia majungu.
Sasa huyo nut kweli ndio wa kutoa ushahidi na maelezo ambayo yanaweza kuitwa ushahidi? Ushahidi utolewa instagram....!Kuna Dada mmoja machachari sana asie Na hata lepe LA woga anaitwa mangekimambi hatimae Leo ameanza kutoa maelelzo yenye ushahidi huko Instagram kuhusu ufisadi WA January Makamba akishirikiana Na Dada yake Mwamvita Makamba
Inasemekana wamekua wakiwahadaa wawekezaji WA kimataifa kua watapata deal za kaz serikalini Na kuchukua pesa Na badae deal izo kufail....yapo mengi wengne wataongeza....ni hatari
utumie akili binti, wazungu sio wajinga hivyo, dunia nzima inajua bandari ya bagamoyo ni ya wachina, labda ataje dili nyingine. sipo upande wa makambas lakini habari yenyewe haiingii akilini.wewe acha hizo,huyo mzungu kaliwa hela zake,sio kwwamba hiyo tender alipata ila aliambiwa angepata so akatowa rushwa kwa March,hapo upo?
Acha noma bosi."Caesar's wife must be above suspicion" JPM twende kazi. Atumbuliwe jipu hadharani kama mnavyofanya kwa watu wengine.