Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Mimi ni wa mwisho niliyetokea ki bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake. Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
🤗🤗
 
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.

Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
ASANTE Sky. Kuwa last born raha sana isipokuwa pia kuna adha zake kama kutumwa tumwa hovyo. Unakula na wanaume nje kwenye kikome unaambiwa ufuate mboga ukiileta hata hujakaa jamaa wameshachukua nyama zote wamebakiza mchuzi. Unapiga tonge moja la ugali mzee mwingine anataka maji ya kunywa, kundi jingine huko limeishiwa mboga, huyu mwingine naye keshamaliza kula anataka moto wa kuwashia sigara yake inabidi uende ukamletee. Usipokuwa mjanja unaweza ukashinda na njaa. Inabidi ujanjaruke mapema na katika kujanjaruka huku ndo unajifunza maisha na heka heka zake kungali mapema.
 
Sijawahi kuona raha ya kuwa last born... Sijawahi!! The fact kwamba na miaka niliyonayo leo bado nakuwa treated like a baby nikiwa Nyumbani, inaniboa sana. Kuanzia kwenye maamuzi mama atakwambia ...aah ni kweli ila umemuuliza kaka/dada ako?...aaargh nakereka sana! Natamani ningekuwa na mdogo wangu!
Jitahidi uwe na hela kuwazidi ndugu zako wote. Tatizo hilo litakwisha mara moja (ila tu usije ukawa na kiburi na majivuno kisa una mpunga [emoji16][emoji16][emoji16])
 
ASANTE Sky. Kuwa last born raha sana isipokuwa pia kuna adha zake kama kutumwa tumwa hovyo. Unakula na wanaume nje kwenye kikome unaambiwa ufuate mboga ukiileta hata hujakaa jamaa wameshachukua nyama zote wamebakiza mchuzi. Unapiga tonge moja la ugali mzee mwingine anataka maji ya kunywa, kundi jingine huko limeishiwa mboga, huyu mwingine naye keshamaliza kula anataka moto wa kuwashia sigara yake inabidi uende ukamletee. Usipokuwa mjanja unaweza ukashinda na njaa. Inabidi ujanjaruke mapema na katika kujanjaruka huku ndo unajifunza maisha na heka heka zake kungali mapema.
Hili la kutumwa ndiyo limenipa challenge la kuwa fighter wa maisha. Nilijua nikilemaa hapa nitatumwa mpaka uzeeni.
 
Hahaha yaani hii inatokeaga automatically. Vile mkikutana nyote utatumwa hadi ukome[emoji23], mi nishazoeaga tukiwa wote nakuwaga mpole kuepusha lawama.
Hili la kutumwa ndiyo limenipa changa moto la kuwa fighter wa maisha. Nilijua nikilemaa hapa nitatumwa mpaka uzeeni.
 
ASANTE Sky. Kuwa last born raha sana isipokuwa pia kuna adha zake kama kutumwa tumwa hovyo. Unakula na wanaume nje kwenye kikome unaambiwa ufuate mboga ukiileta hata hujakaa jamaa wameshachukua nyama zote wamebakiza mchuzi. Unapiga tonge moja la ugali mzee mwingine anataka maji ya kunywa, kundi jingine huko limeishiwa mboga, huyu mwingine naye keshamaliza kula anataka moto wa kuwashia sigara yake inabidi uende ukamletee. Usipokuwa mjanja unaweza ukashinda na njaa. Inabidi ujanjaruke mapema na katika kujanjaruka huku ndo unajifunza maisha na heka heka zake kungali mapema.
Haha mkuu nimecheka sana
 
Back
Top Bottom