Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Wote walichezea bakora za mzee lakini mimi sikuonja hata moja .zaidi ya kufinywa na mama kwa uvivu wa kula. Kichapo nilichezea kwa brother mkubwa tena alikuwa ana watime wazazi wako kazini.
Dada sky tunaendana sana, gap kubwa kati ya wa mwisho na aliyefuatana, kutopigwa bakora just coz tumekuwa bila ndugu zetu.

Ila "side effect" kubwa ni kudekezwa...
 
Sijawahi kuona raha ya kuwa last born... Sijawahi!! The fact kwamba na miaka niliyonayo leo bado nakuwa treated like a baby nikiwa Nyumbani, inaniboa sana. Kuanzia kwenye maamuzi mama atakwambia ...aah ni kweli ila umemuuliza kaka/dada ako?...aaargh nakereka sana! Natamani ningekuwa na mdogo wangu!
 
Wote walichezea bakora za mzee lakini mimi sikuonja hata moja .zaidi ya kufinywa na mama kwa uvivu wa kula. Kichapo nilichezea kwa brother mkubwa tena alikuwa ana watime wazazi wako kazini.
Yaani hata mimi baba hakuwahi hata kunifinya na alikuwa ananipenda hadi wengine wanalalamika kuwa ananipendelea. Akitununulia zawadi mimi lazima ninunuliwe zaidi ya moja. Ukitaka timbwili na baba basi niguse.
 
Mimi ni wa mwisho niliyetokea ki bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake. Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
Acha kabisa kudeka kwake had raha....
 
Mimi kaka yangu tulifuatana kwa kupishana 3years hivyo tumepigana sana. Na hivyo nilikuwa mchokozi wala mama hakunitetea likitokea la kutokea. Ila baba ndio hakutaka hata niguswe. Nikipigwa asubuhi nasubiri muda baba anarudi naanza kulia upyaaaaa.

Ila nilipobaki na mama tu ndio alinidekeza balaa, hadi vyombo tulikuwa tumewekeana zamu ya kuosha🙈🙈🙈🙈
Usikute we ni mdogo wangu haya mafake id's haya...
 
Raha ya kuwa wa mwisho watu wote macho yanakuwa kwako ila kero yake ni kwamba hata uwe na mvi kama zangu watakuona mtoto tu na usiombe itokee mkusanyiko wa kifamilia may be msiba yaani kila kitu utakuwa unatumwa wewe aargh hupati hata wasaa wa kukaa chini, halafu wazo lolote utakalotoa linaonekana la kitoto. Mimi wa mwisho ila nimekua kigumu balaa huwezi hata kunijua
 
Back
Top Bottom