Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
WwraaaaaaaaaaaaMnisindikize wapambeee, tukodi coaster na kigomaa juuu.
shuguhuri imepata mfanyaji.
Sku hyo natoa yoteeww
WwraaaaaaaaaaaaMnisindikize wapambeee, tukodi coaster na kigomaa juuu.
shuguhuri imepata mfanyaji.
Hapo tambo zimempata mwenyewe 😆Atakuwa anatupa lift. Akipata tumepata
Kweli mkuu.Huko hawajafika lakini ipo siku watafika
Dahan Analyse National Anthem Intelligent businessman Bantu Lady na wengineo tutatambulika
itabidi uongozi ufanye hivyo maana tukko wengi ila mm kuanzisha mbona ndo mwake
Na nilivyo sina break sasa, lolote litakalokuja mdomoni, mie naandikaa.Kuna muda vinazidi unachomoa kokii
Kuna siku unakerwaa unajikuta hata bubu anaongea
Msinisahau katika ufalme wenuWwraaaaaaaaaaaa
Sku hyo natoa yoteeww
Mnakodi coaster kufika huko unapewa 50,000. Ha haaa kama nawaona wasindikizaji...Mnisindikize wapambeee, tukodi coaster na kigomaa juuu.
shuguhuri imepata mfanyaji.
Ndiyooooooooo!!!!!Kwaio cocastick ndio celebrate![]()
Udugu wangu hatunaga shoo ndogo hyo yetuu tunakuja kufwataMnisindikizeeee sasa na nyieee.
Mnakodi coaster kufika huko unapewa 50,000. Ha haaa kama nawaona wasindikizaji...
Pesa itaishia kulipia coster na deni juu tunadaiwa






wee D usisemee hivyooo bhanaaa, khaaaahUdugu wangu hatunaga shoo ndogo hyo yetuu tunakuja kufwataMnisindikizeeee sasa na nyieee.
AahahahaMnakodi coaster kufika huko unapewa 50,000. Ha haaa kama nawaona wasindikizaji...
Pesa itaishia kulipia coster na deni juu tunadaiwa
aiseeee jamani haya tutaweka ikibidi na viemoj ndan yakeIla muweke mada nzuri
Hapo sasa, mbwatajiii nipoooooo winja winjaaaUdugu wangu hatunaga shoo ndogo hyo yetuu tunakuja kufwata






, haina mbambambaaaaa.Wanatuchezea akili hili jamaa linakuwaje celebrate 😅😅😅cocastic njoo uone huku
Aahahahaj
Sio kweli😀Kama nimekuona hapo.
Hongera auntHapo sasa, mbwatajiii nipoooooo winja winjaaa
, haina mbambambaaaaa.
Tumenyooka km tapee.
Hapa naona kabisa wanapromote zile tabia zako 🤣🤣🤣Ndiyooooooooo!!!!!