Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Fungu la kumi anatuma kwangu mama Pasta[emoji23][emoji23]cocastic Bwana Yesu asifiwe mtumishi.
Unakumbushwa kutuma fungu la kumi kwa mim mama mchungaji baada ya kupokea zawadi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera dear
Nilianza kumuombea dogo tangu muda hadi tukawachamba mods maana walitaka kumnyima dogo kwa kumpambanisha na mtu ambaye hayupo duniani.