Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Liwe la rangi gan
Jeupe ili niringe nalo Mtaani na Watu ( hasa Haters wangu wa Ushindi wangu huu akina Greatest Of All Time na OKW BOBAN SUNZU ) walione vizuri.

Huyu OKW BOBAN SUNZU wakati wa Shindano limeanza n linaendelea akawaambia Members hapa kuwa wasinipigie Kura na wampe Rafiki yake Greatest Of All Time huku Akinikandia na Kunichafua kwa kila namna GENTAMYCINE cha Kushangaza ndiyo kama vile akawa Kawatibua Wapiga Kura ( Members ) hapa na Wote wakaanza Kunipigia Kura na tokea Siku hiyo sijamuona tena na Kapotea.

Watu Wengine kweli hawana Akili hivi kama GENTAMYCINE hapa JamiiForums sasa nina Followers wangu wapatao 148 na bado tu kutokana na Kiasili Mimi kuwa *Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" wanaongezeka tu unategemea kweli nisishinde Tuzo yoyote inayotolewa hapa JamiiForums?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Watu time shiriki kwa kupiga kura wewe unasema mchakato haukua wa wazi na shirikishi ili bidi uka simamie zoezi zima ofisi za Jf
Kama sijashiriki unataka niseme nimeshiriki.Zoezi ndio nimeliona muda huu licha ya hivyo Bado tunaambiwa zawadi zitatolewa kimya kimya.

Wewe kupata taarifa au kushiriki kwenye mchakato ulienda ofisi za Jf.?
 
Back
Top Bottom