Withdrawal wakati wa ovulation mkuu? The way sex inavyokuwa sweet kwenye siku za joto?. Kama uko serious kuzuia mimba hii ni hatari. Kama abstaining haiwezekani bora hata kutumia kondomu. Ila withdrawal wakati mtu anaovulate mmmmh,lakini kwa wanaoweza wafanye. Halafu kama huwezi kujizuia sex kwa siku chache, hizo njia za kisasa ndo mbaya zaidi,zinamuondolea mwanamke au kumpunguzia ile hamu ya kusex kabisa, yaani wewe mume unakuwa unataka yeye hataki,kama mnabakana vile. Halafu kuna wanawake wakitumia hizo njia wanatoka damu mfululizo hata mwezi au miezi,sasa kujizuia siku 6-10 huwezi,mke wako akichoma sindano atoke damu siku 30 mfululizo utaweza kuvumilia kukaa bila kusex siku 30 mfululizo ? Sio kwamba wote wanakutwa na hali hii ila kuna wanaokutwa. Pia kingine hizo njia zinafanya sex inakuwa na ladha sio nzuri sana,mwanamke anakuwa hana joto na wengine wanakuwa wakavuuu. Sex inakuwepo,lakini ladha au ule utamu unapungua. Hamna njia rahisi isiyo na changamoto.