Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 4,227
- 8,244
Unashindwa vp kuwapenda zaeni tuHata hao watoto tutawafurahia sasa?
Unashindwa vp kuwapenda zaeni tuHata hao watoto tutawafurahia sasa?
Hard truth ni hiiWanadamu wa sasa tunapenda ngono kama chakula.
Siku za hatari kwa mwanamke ni 7-10 tu. Kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 au 20 mkiweza.
Sasa hizo siku 10 mwanaume eti anashindwa kuvumilia, ni uzembe wa kifisi.
Na wanaume inabidi wajue kukaa japo wiki 2 straight kwa mwezi bila kusex inakufanya u-recharge mwili na inner energy yako inakuwa kubwa.
Kiasi kwamba siku ukimkamata mkeo anafeel kama kakutana na mtu mpya.
Wanawake wa mijini uwezo wa kuzaa watoto 10 hamnaNgono kavu na mwenza unayempenda na muaminifu ni tamu sana 😋☺️
Ila kwa uchumi huu, kuzaa watoto 10 kama bibi zetu haiwezekani!
Sawasawa, shikamoo MunguMungu hapendi
Ni kweli, na kuzaa watoto 10 siyo ufahari, tumelazimika ku-evolve kulingana na mazingira ili kusurvive.Wanawake wa mijini uwezo wa kuzaa watoto 10 hamna
Hawana afya hiyo. Wanakula chips, biskuti na soda. Afya ya kuzaa watoto 10 watowe wapi?Unamaanisha uwezo wa kimwili?
Basi ndo maana yeye na U.T.I Kila wakatkutokana na maoni ya wengi, IUD na magonjwa huko chini ni damdam.
Wanaume wengi pia wanakula hivyo hivyo vyakula na hawana hizo nguvu za kuzalisha wala kulea hao watoto 10.Hawana afya hiyo. Wanakula chips, biskuti na soda. Afya ya kuzaa watoto 10 watowe wapi?
Kwa maisha ya sasa kwenye familia nyingi, mahitaji ya nyumbani na ada za shule mnachangiana kuzitoa, na wote mnajishughulisha, la sivyo huyo mwanaume pekee hatoboi. Stress zinakosekanaje sasa hapo?Wanaishi na stress za vicoba afya ya kuzaa watoto 10 watapata wapi?
Kumwagiwa ndani au nje si jambo la kuzungumza na mwenza wako kabla ya tendo au huko kwenye ndoa hali ikoje mkitaka kubanjuana?Habari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.
Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.
Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.
Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Sikusema kwa ubaya, lakini wanawake ndiyo wanaongoza kupenda kula hivyo vyakula vya hovyoWanaume wengi pia wanakula hivyo hivyo vyakula na hawana hizo nguvu za kuzalisha wala kulea hao watoto 10.
Kwa maisha ya sasa kwenye familia nyingi, mahitaji ya nyumbani na ada za shule mnachangiana kuzitoa, na wote mnajishughulisha, la sivyo huyo mwanaume pekee hatoboi. Stress zinakosekanaje sasa hapo?
Hata kama una uwezo wa kuzaa, ikizidi sana unampa watoto watatu maana hao ndiyo mtamudu kulea.
Siyo kazi rahisi kumwaga nje, utamu unazidi ukimwaga ndaniKumwagiwa ndani au nje si jambo la kuzungumza na mwenza wako kabla ya tendo au huko kwenye ndoa hali ikoje mkitaka kubanjuana?
😅😅😅😅😅😅Kumwaga nje nako si kitoto. Mi naonaga naumia tu hasa misuli ya goboleHard truth ni hii
Wanaume wengi hawajali kuhusu uzazi wa mpango. Sababu somehow dunia imehusisha idadi ya watoto na UKIDUME!
Yaani kama mwanamke, usipopambania kujilinda, mume hata kama mlisema mtazaa watoto 2...hana shida kuzaa 5 sababu hatowabeba yeye, hatowapeleka clinic yeye, hatokaa nao wakiumwa. His only role will be kutoa pesa, na hii role siku hizi tunasaidiana.
All in all, wanaume wengi hawajali uko siku za hatari, uko siku salama (sio shida zao at all). Ukilialia hapo kusema siku za hatari mnaweza kubaliana kabisa amwage nje na akamwaga ndani.
Ndoa yake au yako?Upo kwenye ndoa ila unataka umwagiliaji ufanyike nje it's so scary
USSR