Nilitupilia mbali uzazi wa mpango baada wa kubleed for almost 2 weeks unameza dawa inakata inaanza upya ..hii ilikwenda kwa miezi miwili ikanichezesha makida makida.. niliona ni upuuzi kurisk afya yangu while naweza tumia kalenda....lakini pia hayufanyi kila siku..pia si kigezo za mwanaume kuchepuka uweke FP atachepuka usiweka atachepuka vile vile nilitoa natumia kalenda akishindwa vumila hizo siku 7sjui 10 na achepuke tu aisee nadunda mwaka wa 3 with 4 kids na imetosha SIZAI TENA Nimefunga kwa imani..