Bora wewe umesoma hata kichwa cha uzi, ameita wanawake wenzake ila wanaume ndiyo wamejazana na unsolicited advice zao
Pole kwake, fibroids hazina sababu ya kitabibu inayojulikana ila kuna vichochezi vinavyoweza kuchangia ikiwemo historia ya fibroids kwenye familia, upungufu wa vitamin D na unene kupitiliza.Nje ya mada, wakuu fibroids zinasababishwa na nini? Na zinatibikaje? Kuna mtu naona zinamtesa sana, kuna kipindi kafafanyiwa operation, lakini juzi tena kaambiwa zimeota afanyiwe! Mind u hana mtoto na 4th floor..
Binti wa zamani ni mke wa mtu na mtu mwenyewe ni mimi. Manyanza Mwalimu wa Jamii dosho12 leo dada Seran walikuwepo wakati natoa mahari na ndoa. Hesima iwepo ndugu!Mdau mbona umekuja haraka hivyo au ni mtu wako nini? Sorry for signal interference
Akibisha natuma na picha za harusi hapa hapa 😁Binti wa zamani ni mke wa mtu na mtu mwenyewe ni mimi. Manyanza Mwalimu wa Jamii dosho12 leo dada Seran walikuwepo wakati natoa mahari na ndoa. Hesima iwepo ndugu!
Binti wa zamani ni mke wa mtu na mtu mwenyewe ni mimi. Manyanza Mwalimu wa Jamii dosho12 leo dada Seran walikuwepo wakati natoa mahari na ndoa. Hesima iwepo ndugu!
Aiseeeh 😂 😂Akibisha natuma na picha za harusi hapa hapa 😁
Hapana pamoja na kuitwa wanawake wanaume pia tunahusika , kwani hivyo vitanzi si mnatuwekea sisi ili tusiwatungishe mimba ?Bora wewe umesoma hata kichwa cha uzi, ameita wanawake wenzake ila wanaume ndiyo wamejazana na unsolicited advice zao 🚮🚮🚮
Binti wa zamani ni mke wa mtu na mtu mwenyewe ni mimi. Manyanza Mwalimu wa Jamii dosho12 leo dada Seran walikuwepo wakati natoa mahari na ndoa. Hesima iwepo ndugu!
Haya mbaki kwenye mada basi mtujuze mnaendeleaje na vitanzi vyenu!Hapana pamoja na kuitwa wanawake wanaume pia tunahusika , kwani hivyo vitanzi si mnatuwekea sisi ili tusiwatungishe mimba ?
Kwa namna moja au nyingine tunahusika
Ok
Manjia ya kisasa kiukweli sio poa , bora hata mtumie billing ovulation method (BOM)Kaka zangu wakimatumbi linapokuja suala la uzazi WA mpango wa kisasa wanakuwa wakali kweli sijui shida ni nini?
Yaani kajamaa unakuta hakajui chochote kuhusu kalenda na hakana njia mbadala hilo Povu kanalotoa Sasa😀😀😀😀😀
Sasa hivi ndivyo inafaa,unakataa then unatoa njia mbadala!Manjia ya kisasa kiukweli sio poa , bora hata mtumie billing ovulation method (BOM)
Unayaweza??? Nasubiri ndoa yako tarehe 14 wifi atanipa majibu.nimewaandalia mimba siku hiyo.
Yeah mimi huwa njia hiyo huwa naipendekeza sana kwa wadada , hizo njia za kisasa zina neg side effects nyingi sana ambazo sio rahisi uambiweSasa hivi ndivyo inafaa,unakataa then unatoa njia mbadala!