Kesi inapoanza mfano wa Shati la Jamuhuri kuwa jeupe na safi kazi ya Mshtakiwa au utetezi ni kulitia madoa ukishindwa kulitia madoa mpaka mwisho wa kesi basi mtuhumiwa hufungwa. Lengo la kuita Mashadi ni kuja kuvunja ushadi wa jamuhuri na Ndiyo maana hata jamuhuri wakimuita shahidi akawageuka...
Serikali ilitambulisha mfumo wa ESS kwa Watumishi wa Umma miaka mitatu iliyopita. Ndani ya mfumo huo kuna jukwaa la E-Utendaji (PEPMIS), ambalo mtumishi anatakiwa kuingiza majukumu yake ya kazi kila siku.
Bahati mbaya, kwa sasa mfumo huo hauko imara. Kuna muda unakuta jukwaa la E-Utendaji...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage...
Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine.
dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
Habari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.