Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Kitanzi cha Copper ni kweli hakina hormone za uzazi lakini usichoambiwa ni kwamba Copper ina uwezo wa kuathiri hormone za uzazi hasa estrogen ndio maana kuna hayo maudhi unayapata. Hiyo sentensi kwamba " hakina homoni ni maneno tu ya kutia watu moyo ili waone kina uafadhali". Mbaya zaidi kitanzi cha copper kinatoa kiwango kikubwa cha copper mwilini kuliko kiwango kinachoruhusiwa kwahiyo kinaleta " copper toxicity". So unaepuka hormones unapambana na copper toxicity. Kuna group Facebook la wanawake kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaotumia hizo Copper IUD, simulizi wanazotoa hao wamama sio poa. Ukipata nafasi kalitafute usome,utaona hayo mambo wanayopambana nayo.Hayo majitu ni masumu. Bora njia za asili kama Billings Ovulation Method au kujipima joto mdomoni au homoni kwenye mkojo. Unazuia mimba kiuhakika bila madhara yoyote.
Umenipa topic za kujisomea kwakweli
 
Habari,

Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.

How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?

I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.

Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.

Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.

Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Pole
Mie nachangia km mwanaume. Hayo ni mambo ya kuzungumzika, mfano mie siku za hatari zote nikitaka nipige mi BAM BAM namwagia nje na tunajitahidi kucheza na kalenda, sana, sababu tayari ana operation 2, na kondom ni kitu ambacho sikiwezi kabisaaa.. hivyo ni mwendo wa tarehe na kumwagia nje ikishindikana kuvumilia.
 
Umenipa topic za kujisomea kwakweli
Yes mamii,kajifunze kuhusu mwili wako kiundani wewe kama mwanamke. Utaenjoy sana. Our bodies are wondefully made .

Mfumo wa uzazi wa mwanamke ni so amazing. Inasikitisha kwamba shuleni tunajifunza juujuu sana na pia upotoshaji tunapewa eg mzunguko lazima uwe na siku 28 na siku za hatari lazima sijui ziwe katikati sijui siku ya 14, wengine hatujawahi kuwa na huo mzunguko wa siku 28.

Kajifunze my dear hata hujachelewa. Uzuri sasahivi Internet ipo,kila kitu kiganjani. Utatamani ungefundishwa mapema zaidi
 
Zaa wewe haya madude ya wazungu mnakuja jiharibia tu mwilini .....paka limao chini huko uue viluwiluwi kama huwezi fuata tarehe za siku hatari badala ya sijui mavidonge na mavijiti mnaenda tengeneza tu magonjwa na hiyo UTI ni yanayoonekana..bado hormonal imbalance na madhara mengine ya mda mrefu..mmeubwa kuja kuijaza dunia Gates Foundation’s new world-first contraceptive for African women: what it means for AfricaView attachment 3542839
Kupaka limao kwenye via vya uzazi ni hatari coz itaua wadudu marafiki wanaokulinda dhidi ya magonjwa. Mtu asithubutu. Atatibu fangasi hadi akome
 
Habari,

Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.

How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?

I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.

Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.

Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.

Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Hicho kitanzi ni dawa unameza au unapewa unaweka mwenyewe au unaenda Hospital kuvua chupi na kuchanua mapaja ili kiwekwe pia na wakati wa kukitoa naomba nijue mnawekewa vp
 
Bro mbona unamjibia mwanamke unayedai ana akili zake?
Si umwache ajibu mwenyewe!
Huenda bado anahitaji new adventures, ameachana na mtu wake n.k.
Haya endelea naye mfuate pm, mimi siingii humu kutafuta wanawake
 
Huu nao ni mjadala mwingine. From feedback ya watu wangu wa karibu; Madaktari wa wanawake wengi hawapendi hili jambo. Actually hata wanaume hawapati wepesi wanapoomba hii huduma. Sijui kwanini.

Sijawahi kujaribu kuongea na daktari wangu kuhusu kufunga kizazi. Nitajaribu nione anasemaje.
Jamii yetu ni jamii moja rigid sana . Tena mume akifunga inasaidia zaidi maana yeye hapati complication kama ke.
 
Naona mleta mada anashambuliwa sana kwa kuamua kutumia njia ya uzazi wa mpango!!! Hii sio sawa,tumeshapita zama za kuzaa kama wanyama .

Kama mimba ingekuwa inatunga kwa mtu yeyote baada sex lazima na sisi wanaume tungetumia uzazi wa mpango. Bahati nzuri ni mwanamke anaye beba mimba,kitu pekee tunacho weza kufanya ni kutoa support ya njia salama za kupanga uzazi.
Ubarikiwe sana wewe na familia yako.

Wanaume wanapenda sana tuwaelewe kwa mambo yao ya kiume ila sio other way around. It’s somehow sick 🤢
 
Yes dear,BOM ni nzuri sana,halafu inasaidia unaujua mwili wako hata ukiumwa unahisi hapa naumwa kabla hata dalili za ugonjwa hazijaanza. Ilitakiwa hii njia tufundishwe shule sema ndo hivyo mitaala inaandaliwa kwa ushirikiano na wenye makampuni ya dawa,wanawafundisha njia zitakazowaingizia wao pesa maana mkitumia BOM vitanzi vitakosa soko
Ukipata muda naomba uanzishe mada juu ya hili, mada ikibaki humu inakuwa kama rejea.

Mwanamke/msichana yeyote akisearch kwenye search engine yoyote maudhui ya kiswahili kuhusu BOM atakutana na uzi wako kutoka JF.

Inasaidia kusambaza elimu.
 
Back
Top Bottom