Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Habari,

Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.

How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?

I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.

Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.

Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.

Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Hicho kidude hakina hormone sawa ila ukiwa mwanamke haujatulia infectiona zitakuua, unatakiwa kuwa mke wa mume mmoja
 
Wataalam wa wapi hao wanaodai Fibroids inasababishwa na upungufu wa Iodine mkuu? Halafu hiyo Lugol's Iodine unayomwambia atumie unamaanisha atumieje? Anywe au? Mwenzio asijekwenda kunywa Iodine wakaenda kumzika maana Lugol's Iodine sio kinywaji kile.
Lugols iodine 3% anaweka tone moja kwenye glass ya maji kila siku. Hii sio iodine tincture ya kupaka kwenye vidonda.
 
Habari,

Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.

How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?

I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.

Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.

Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.

Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Angalia haunuki vibaya mwenzio umkeri kwa shombo samaki hayo makitu
 
Umanzagamua mwanamke kwa ufundi wako wote yeye hata hana habari kama anazagamuliwa kumbe ni kitanzi kimekata connection kati yake na hisia 😄

Unafuatilia tarehe zake vizuri unajua kabisa siku fulani ndio atakua kwenye joto kwamba ukigusa tu utelezi huu hapa ila ikifika mnasuguana kama sufuria na stiliwaya kumbe utelezi umeshaliwa na kijiti.
 
Lugols iodine 3% anaweka tone moja kwenye glass ya maji kila siku. Hii sio iodine tincture ya kupaka kwenye vidonda.
Hujajibu swali la msingi mkuu, ni wapi wataalam wamesema fibroids zinasababishwa na upungufu wa Iodine? tuletee rejea( reference) ya hilo.
Pili, nilimaanisha Lugol's Iodine sio Iodine tincture, kinachonishangaza ni wewe kumwambia mtu anywe Iodine bila ushauri wala vipimo. Iodine ikizidi au kupungua mwilini, tezi ya thyroid itapata shida, unavyomwambia anywe Iodine ilihali hujui kiwango cha Iodine mwilini mwake, je akipata matatizo ya thyroid utamchangia matibabu?
 
Kuna wataalamu wa mambo ya dawa za Kienyeji humu! japo huyu mama kafanyiwa na bado anaendelea kufanyiwa means ni mateso haya! una mtoto?
Sina mtoto ila hili tatizo limenizidia sasa inabd niende kwenye op
 
Tafuta lugols iodine utumie mpaka fibroids ziishe. Wataalamu wanasema fibroids zinasababishwa na upungufu wa iodine kwenye mwili wa mwanamume,ukikosa lugols iodine basi suppliments kwa chakula.

Tumia mwani,nunua yale majani yake kabisa,safisha kwa maji safi . Yaloweke kwa saa 24 kisha yatie kwenye blender,kula kijiko kikubwa asubuhi na jioni kwa muda mrefu iwezekanavyo.

Kama unaishi karibu na bahari uwe unaenda beach mara kadhaa kwa wiki. Kaa ufukweni,fanya deep breathing ya taratibu tu hata kwa saa moja . Ukiweza kuogelea pia sio mbaya,bahari ina iodine nyingi kwenye hewa mpaka maji yake .

Kama una uwezo basi fanya diet kali ya ketovore/carnivores diet. Chakula chako kikuu kiwe protein za wanyama (ng'ombe, mbuzi, kondoo na samaki).

Acha kula sukari kabisa, modify jinsi ya kula wanga , usitumie mafuta ya kupikia wala bidhaa za viwandani. Mwili wako ukiweza kuingia kwenye ketosis basi shida zote za kiafya ambazo sio za kuambukizwa zitaisha .

Pole sana .
Mimi ni mwanamke hivi kumbe fibroids huwapata hadi wanaume ?
 
Hujajibu swali la msingi mkuu, ni wapi wataalam wamesema fibroids zinasababishwa na upungufu wa Iodine? tuletee rejea( reference) ya hilo.
Pili, nilimaanisha Lugol's Iodine sio Iodine tincture, kinachonishangaza ni wewe kumwambia mtu anywe Iodine bila ushauri wala vipimo. Iodine ikizidi au kupungua mwilini, tezi ya thyroid itapata shida, unavyomwambia anywe Iodine ilihali hujui kiwango cha Iodine mwilini mwake, je akipata matatizo ya thyroid utamchangia matibabu?
Uzuri ni kwamba ushauri sio lazima aufuate,mwenye tatizo anajua kinac

Hilo ni tatizo la wanawake pekee. Mtu yeyote mwenye shida ya fibroids atazame hii video,kisha asome comments. Hopefully itamsaidia kupambana na tatizo lake.

View: https://youtu.be/NZI8qJjN2Qw?si=Zu4ymq90Ptnxt4Ng
 
View: https://youtu.be/lIcyVXB6dLE?si=9Gm4DNiU-zaurTI6
 
Uzuri ni kwamba ushauri sio lazima aufuate,mwenye tatizo anajua kinac

Hilo ni tatizo la wanawake pekee. Mtu yeyote mwenye shida ya fibroids atazame hii video,kisha asome comments. Hopefully itamsaidia kupambana na tatizo lake.

View: https://youtu.be/NZI8qJjN2Qw?si=Zu4ymq90Ptnxt4Ng

Mkuu, hii imeonesha tu studies tena chache, bado haijawa universally accepted fact. Sio kila study ni universally accepted fact. Pili, hata kama ingekuwa tiba, watu waliofanyiwa studies wanayoelezea hapa, walipimwa kabla ya kupewa hizo dawa baada ya kuthibitika wana upungufu mfano wa Vitamin D, hawakutoa dawa kwa ambao hawakuthibitika kuwa na upungufu.Sio sawa na wewe unaemwambia mtu akabugie Iodine bila vipimo kuthibitisha kwamba anahitaji hiyo Iodine , hapo unamtafutia matatizo ya thyroid.
 
Back
Top Bottom