Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Hicho kidude hakina hormone sawa ila ukiwa mwanamke haujatulia infectiona zitakuua, unatakiwa kuwa mke wa mume mmoja
Hizi mambo zenu mnakaa mnajitungia hizi ndo mnafanya wanawake wengine anakaa na BV sijui Yeast Infection weee haendi hospital wala hasemi kwa kuogopa kuonekana kicheche.

Issue kama Bacterial Vaginosis sio STI ni issue ya imbalance ya microbiome huko chini. IUD inaweza kuwa chanzo cha hiyo imbalance. Actually kuna wanawake damu yao ya period inawapa BV. Mwingine akivaa tu jeans ya kubana, tayari.

Copper IUD haina hormones but inarelease copper ions zinazoharibu uwezo wa mbegu za kiume. So tayari kuna kitu kipya hapo.
 
Sijawahi kutumia kitanzi,tangu niingie ndoani ni mwendo wa kalenda.Sasa hivi nawaza kubadilisha njia maana mwaka Jana kalenda ilinibetray,sijui nn kilitokea ila nnachojua nalea sasa.
 
Dear AIl.
Please If you know of any lady battling BREAST
CANCER of whatever stage please advise her to
contact:
Dorothy@africacancerfoundation.org
All medical expenses are free.
Please don't keep this message to yourself, SHARE
OR FORWARD to groups and save that woman's life
today.
 
Back
Top Bottom