Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Huo ndio ukweli Kwa mwanaume rijali siwezi ridhika na mwanamke mmoja

Ila tupo tunaofanya sacrifice ya kuridhika na mwanamke mmoja shida Inakuja pale wanawake tunaoridhika nao na kuwaheshimu na kutoa sadaka ya kuzuia hisia na tamaa Zetu Kwa wanawake wengine Kwa ajili Yao na ndoa wanaanza kutudharau na kuchukukia poa Kwa mazingira hayo kwanini nisimtafute anaenipa amani
wajuzi wa mambo wanasema ukiwa mastaraabu mwanamke anakuona fala
 
A cheating husband or wife will never change, they change techniques, so whatever decision you make jua tu kwambe he is doing the same thing!

But, I will do anything for my children, stay together, be a wife, and wait, make sure:

- Huongezi Mtoto tena.
- Kua tu mke responsible and good.
- Jaribu Kuwa positive na maisha!

Madhara ya kuachana:

- Maumivu kwa watoto ukiolewa tena.
- Ngumu sana kupata mapenzi ya dhati.
- Unaweza tumiwa vibaya na wanaume.

Ukishindwa kabisa Mama yangu, maisha haya mafupi, kama waweza kaa na watoto peke yako, uka avoid mahusiano mapya, mme akawatunza, wewe Mwambie akupishe hapo aende kwa hao wanawake wake!

Mke wangu alionyesha ku cheat toka 2010 nikajikaza sana for 7 years siongei Ila naugua, mwaka 2016 bila sababu nikaondoka home!

Najuta kupoteza mda wangu wa kuishi na machungu na maumivu, bora ningeondoka! Maisha ya ndoa ni utumwa sana sana, Yani Acha tu!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aisee una maoni gani kwa mabachelor wasio na mpango wa kuoa?
 
Alinieleza kwa mapana sana nilimpinga sana lakini naona kama kuna uhalisia. Alikiri naweza kufanya hvyo kwa siri sana bila kuonesha tofauti yeyote hadi yeye ajue lakin kashalikubali hilo ni heshima tu iwepo maana kweli kuna mda mapenzi na caring kwa asilimia kubwa vitahamia kwa watoto hasa miezi michache kabla na baada ya kujifungua. Ukweli mchungu huu nangoja nije niuone nithibitishe maana lisemwalo lipo kama halipo laja.
ameshajifungua?
 
Ni wanaume tu washindwa hoja hao hafu kuita mwanamke single mother ni ujinga sifa kuu ya mwanamke ni kuzaa awe single au sio single.
Kwanza huu Uzi wamevamia eti wanaume hawatulii sijui Nini blah blah ni haki yao, ingekuwa ni mwanaume mwenzao hapo wangeshamwambia afukuze haraka
kweli kabisaa
 
Not all men cheat. Usikariri dada yangu. Huwezi amini lakini ndiyo ilivyo. Kama mume wako anacheat usijumuishe wote. Sijawahi kumcheat wifi yako ila yeye alinicheat sana kwahiyo ningesema all women cheat ni jambo ambalo siyo kweli.
"MWANAMKE AKICHEAT, MWANAUME HAMRIDHISHI KITANDANI ILA MWANAUME AKICHEAT NI TAMAA ZAKE"
vipi wale wanaocheat kwa tamaa za hela unawaweka kundi gani?
 
Paragraph ya mwisho hakuna ukweli wowote na ndio mnaofanya wanaume waende nje ya himaya, na kufanya wanawake waishi nje ya uhalisia ktk ndoa.
Hebu waza km hili angefany mwanamke je reasoning ya mwanaume ingekua vipi? Tuwaze na kupima ktk pande zote mbili bila kujari hizi propaganda za kufikirika aaaaah mnakera sana
Nataman nimzabue mtu makofi msieeeeeeew.
wanasema ukweli ni mchungu
 
Rahisi sana kuishi na mke akiwa na mimba, fuata masharti yote anayo kupa, tenga muda wa kutosha wa kuwa karibu naye, punguza marafiki wenye mtazamo tofauti, usijaribu kuwa na mchepuko kipindi hiki.
Siku ya kujifungua muombe daktari uwepo chumba cha kujifungulia. Utakapoona zile damu na maumivu anayopitia haki ya Mungu nakuapia kuanzia siku hiyo utaapa kwa miungu yako yote kuwa mke akitoka hapa salama hautamtenda kwa baya lolote. Hilo Agano linakuja automatikale na lina dumu sana. Pia mke anakuchukulia kama ni mtu mwenye upendo na unaye jali sana. Anajikuta anakupenda na kukuheshimu.

Kwanini uchepuke? Ile kitu kama haikuchanwa kuongeza njia ni siku tano tu na kama alichanwa ruhusu mwezi upite inakuwa tayari kwa matumizi halali ya nyumbani.

Muhimu:vaa condom kuepuka mimba na usinyonye maziwa maana utakuwa una dhurumu haki ya mtoto.
wewe ulishuhidia wa kwako akijifungua?
 
Halafu nyie mnakuwaga wapi mnatuachia haya mafurushi yanatuvurugia watoto na jamii[emoji134][emoji134]
Hebu mjitokezage mara kwa mara kabla hatujazoea haramu kuwa halali.
huyo mwenyewe ni furushi first class hujamuelewa vizuri tu
 
Hizo ni fikra tu kuwa kuna tulizo la moyo kwasababu mwanaume anayekwenda kukutana naye bado atakuwa na asili ya wanaume. Labda useme kulipiza kisasi. Mi hiyo naona ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa adui yako. Ndio maana nikasema mpaka afikie kuzaa nje bora akalifanya hilo nje ya ndoa. Kwa asili ya mwanaume ilivyo na hata ukienda kwenye sheria ya ndoa imetamka hakuna mwanamke anayeruhusiwa kuwa kwenye ndoa zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Kwa maana hiyo atapoteza hata stahiki zake. Sheria haisemi chochote kuhusu mwanaume kuwa kwenye ndoa zaidi ya moja kwa wakati mmoja.

Unaweza kuona kwamba sheria imewapunja wanawake lakini imezingatia uhalisia wa mambo. Ndiyo maana hata sheria hiyo inasema mme hawezi kumrithi mke labda kama hana watoto. Ila mwanamke anaruhusiwa kumrithi mume. Hii imemlinda mwanamke ingawa wanaume nao watalalamika. Ila hii ni kwasababu mwanaume anaweza kuwa na ndoa zaidi ya moja.

Hivyo mi naona kama huyo yakimshinda aachie ngazi tu kuliko kutengeneza matatizo zaidi akifikiri anatafuta tulizo la moyo.
mwanamke kumrithi mume kivipi?
 
Kuna wengine mnaonekana tu kweli mnavyo haijalishi mtasema au hamsemi ila kuna wengine wenzangu na mimi kujifanya wanavyo lakini kiuhalisia wanakuna vichwa kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha yetu magumu sana Zoë, basi tu tuzidi kujifariji wengine...
 
Back
Top Bottom