Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Jiongeleshee tuu...! Ukipewaa talaka ndo utajua hujuiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata uliecheat nae anarudi kwa mke wake labda kama ni kiben ten
Tumeshindwana kila mtu a mind business zake bwana, maisha haya Mimi nikula starehe tu basi hzo talaka kwanini niwaze, huyo mume was mtu akirudi anataftwa mwingine
 
Babe kunywa fanta pasheni hapo lipia halafu utanidai hiyo mia5, ila kama vipi unaweza tu ukaamua usinidai[emoji85][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona umekazania sana achepuke?? Kwani akiomba talaka kuna shida gani? Yani wewe solution yako ni kuchepuka na atiwe mimba tu!
Atafte mtu wa kumtoa hamu since Hana affection na mumewe, mbona yeye mumewe alitoka nje
 
I agree with you, Tena ikiwezekana zaa kabisa life is too short to sacrifice for someone who doesn't care, hafu asingizie kupitiwa eti ni Mwanaume, ndio maana kumbe wabibi zamani walizaa nje kuponya makovu.
Huu ni ushauri potofu ambao utaujutia baadae. Huwezi kufanya ambalo unajua si zuri na ukatumia kigezo cha kwamba mbona na yeye anafanya. Haramu ni haramu tu na kulipiza kwa kufanya haramu hakuwezi kuhalalisha utakalofanya. Mwisho wa siku hiyo hasira itakuweka pabaya zaidi ya hapa ulipo. Atakayeathirika zaidi ni wewe na hata watu hakuna atakayekuwa na sympathy na wewe, mtaonekana nyote ni walewale.

Ushauri wangu jipe muda na kutafuta njia ya kuondoa tatizo. Ikishindikana bora uombe taraka kuliko kuzaa ukiwa kwenye ndoa. Si sheria za dini wala serikali zinazokubali kuzaa nje ya ndoa.

Mwisho wanaume wote wana asili ya polygamism ila dini na tamaduni ndo zimekuwa zikiwafunga speed governer. Hata ukitafuta mwingine uwezekano wa kukutana na ambaye atakuumiza zaidi ni mkubwa. Unless uamue kuachana na wanaume kabisa kama utaweza hilo. Hata hivyo mwanaume ku-cheat siyo kwamba hakupendi na wala siyo kwamba aliye-cheat naye anampenda kuliko wewe. Hao ndio wanaume na wanawake mnatakiwa kuwaelewa. Kama mwanaume bado anahudumia familia na kutimiza majukumu yake ipasavyo huyo bado anakupenda.
 
Tumeshindwana kila mtu a mind business zake bwana, maisha haya Mimi nikula starehe tu basi hzo talaka kwanini niwaze, huyo mume was mtu akirudi anataftwa mwingine
Kulaa maishaa mkuu...!!
 
Haya ya ubikra hayahusu hapa, mumewe kacheat, na yeye akatafute furaha pale pengine anapohisi pana faa. Km alivyofanya mumewe kwan kutoka nje ya ndoa.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ujue brod darling huwa tunachukulia uzinzi as if ni kitu tu unafanya afu kinapita: hakina madhara. Hapo siongelei hata kiroho; but people are suffering so much because of infidelity. Mtu anajisemesha tu ooh sio big issue: sio big issue mume kufungua zipu hovyo huko nje; sio issue kuletewa magonjwa, atu wanazaa nje (unaujua mziki wa blended families wewe nenda Mwanzo 21 ukayaone ya Sara a Hajiri), uchumi unaporomoka (income inatapanywa nje), kuna familia zinateseka huku baba anaweka heshima kwa michepuko, kurogana kama k. Zaidi ya yote it's an emotional torture kwa mke; wengine wanapata pressures na depressions. Kuna mdada alisimuliaga humu jinsi mama yao alivyokufariki kwa presha kisa mchepuko wa mume afu baada ya kufariki mume akaoa mchepuko; imagine hali ya watoto aliowaacha

Hakuna mwenye immunity ya kutocheat; hata mimi ninayejifaragua hapa; ni kwa neema tu. Lakini cheating inaanzia kwenye akili zetu mara nyingi tunakiri na kuona kwamba cheating is inevitable. Tena mtu akisema yeye hachepuki tunamuona mnafiki; so sad. So hata mahali ambapo tungeweza kusimama; sisi tunaona tushapata excuse ya kuchepuka. Tutachepuka tu sawa sawa na tunavyoamini akilini mwetu (aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo). Lakini ukiamua kuamini kuwa si lazima kila mtu achepuke; hata inapotokea sababu ya kukupush kwenye kuchepuka; you will still choose not to. Believe first. Mtu anayeamini hivi hata siku akichepuka na asifumaniwe; itamuumiza moyoni mwake mwenyewe kwa nini amemkosea Mungu wake na mkewe na atarekebisha mambo. (Hakunaga heshima kwenye kulala na mtu mwingine nje: eti achepuke tu ila aniheshimu; hiyo heshima ya wapi?). Hata mchepuko ukikuona unapita au unaita hubby unakuchekaje. Lakini wengi wetu mume akichepuka, hajutii wala haoni vibaya sana sana kesi inakugeukia; kwa nini unanichunguza; Shame

Binadamu haturidhiki; kila siku tuna desires mpya; kila siku tunakutana na watu wapya na tunawatamani (kwa kweli roho i radhi lakini mwili ni dhaifu). Lakini bado tunatamani tena na tena; so ukishajua no matter unatamani kiasi gani huwezi kuwalala wanawake wote unaowatamani; you simply decide to stick to your wife. Afu hata ukilala nao; ukishamaliza kuna nini cha ajabu? So unaamua tu kuwa mwaminifu

Umenena vema ila jua tu ya kwamba anachokitaka mwanaume kutoka kwa mwanamke hakipatikani kwa mwanamke mmoja. Unajua Mungu kaumba matunda ya kila aina (wanawake) ila tabu ya mlaji (mwanaume) anapenda kachumbari (wanawake tofauti tofauti)
 
Huu ni ushauri potofu ambao utaujutia baadae. Huwezi kufanya ambalo unajua si zuri na ukatumia kigezo cha kwamba mbona na yeye anafanya. Haramu ni haramu tu na kulipiza kwa kufanya haramu hakuwezi kuhalalisha utakalofanya. Mwisho wa siku hiyo hasira itakuweka pabaya zaidi ya hapa ulipo. Atakayeathirika zaidi ni wewe na hata watu hakuna atakayekuwa na sympathy na wewe, mtaonekana nyote ni walewale.

Ushauri wangu jipe muda na kutafuta njia ya kuondoa tatizo. Ikishindikana bora uombe taraka kuliko kuzaa ukiwa kwenye ndoa. Si sheria za dini wala serikali zinazokubali kuzaa nje ya ndoa.

Mwisho wanaume wote wana asili ya polygamism ila dini na tamaduni ndo zimekuwa zikiwafunga speed governer. Hata ukitafuta mwingine uwezekano wa kukutana na ambaye atakuumiza zaidi ni mkubwa. Unless uamue kuachana na wanaume kabisa kama utaweza hilo. Hata hivyo mwanaume ku-cheat siyo kwamba hakupendi na wala siyo kwamba aliye-cheat naye anampenda kuliko wewe. Hao ndio wanaume na wanawake mnatakiwa kuwaelewa. Kama mwanaume bado anahudumia familia na kutimiza majukumu yake ipasavyo huyo bado anakupenda.
Paragraph ya mwisho hakuna ukweli wowote na ndio mnaofanya wanaume waende nje ya himaya, na kufanya wanawake waishi nje ya uhalisia ktk ndoa.
Hebu waza km hili angefany mwanamke je reasoning ya mwanaume ingekua vipi? Tuwaze na kupima ktk pande zote mbili bila kujari hizi propaganda za kufikirika aaaaah mnakera sana
Nataman nimzabue mtu makofi msieeeeeeew.
 
Heshima ya kutiwa mimba na wanaume tofauti? Alafu mimi sicondone cheating kwa jinsia zote don't get it twisted. Kama kashindwa kusamehe kila mtu afuate njia yake ila kwenda kufunuliwa sketi na kutiwa mimba sio sahihi, hivi itakuaje akiolewa tena na huyo mwanaume akacheat? akatiwe mimba nyingine tena? na watatu? na wanne? Yaani una watoto nane na wote baba tofauti [emoji23]. Narudia kusema unajikomoa mwenyewe mwisho wa siku uanze kusema all men are the same mara wamenitelekeza kumbe akili zako ndo zimekufikisha hapo ulipo
Si ndio heshima mnayoitaka jamani, mbona leo mnaikana[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Huu ni ushauri potofu ambao utaujutia baadae. Huwezi kufanya ambalo unajua si zuri na ukatumia kigezo cha kwamba mbona na yeye anafanya. Haramu ni haramu tu na kulipiza kwa kufanya haramu hakuwezi kuhalalisha utakalofanya. Mwisho wa siku hiyo hasira itakuweka pabaya zaidi ya hapa ulipo. Atakayeathirika zaidi ni wewe na hata watu hakuna atakayekuwa na sympathy na wewe, mtaonekana nyote ni walewale.

Ushauri wangu jipe muda na kutafuta njia ya kuondoa tatizo. Ikishindikana bora uombe taraka kuliko kuzaa ukiwa kwenye ndoa. Si sheria za dini wala serikali zinazokubali kuzaa nje ya ndoa.

Mwisho wanaume wote wana asili ya polygamism ila dini na tamaduni ndo zimekuwa zikiwafunga speed governer. Hata ukitafuta mwingine uwezekano wa kukutana na ambaye atakuumiza zaidi ni mkubwa. Unless uamue kuachana na wanaume kabisa kama utaweza hilo. Hata hivyo mwanaume ku-cheat siyo kwamba hakupendi na wala siyo kwamba aliye-cheat naye anampenda kuliko wewe. Hao ndio wanaume na wanawake mnatakiwa kuwaelewa. Kama mwanaume bado anahudumia familia na kutimiza majukumu yake ipasavyo huyo bado anakupenda.
Ushauri wako mubovu yeye anaenda kutafta tulizo la moyo na sio kulipiza Wala Nini Kama nyie ni polygamy in nature basi na yeye atafte tulizo la moyo. Usilopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako
 
Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.

Wengi hapo wanamuona muhanga achukulie kawaida lakini haiwezekani kabisa si Duniani mpaka mbinguni

Ila sehemu moja ambayo wanaume wengi tunakosea ni kudhani kwamba sisi wanaume tuna haki miliki ya kusaliti na tunatakiwa kusamehewa ( ambapo huu mtazamo si sahihi)

Halafu usaliti ni hatua ndefu sana msaliti anaanzia mbali sana, usaliti wa bahati mbaya almost ni hakuna
 
Hivi kuna wanawake wanaoamini kuwa waume zao hawacheat na hawatowacheat?
Binafsi sijaifikia ndoa ila niliye nae huwa ananiambia kuna kipindi kitafika nitashndwa vumilia tu nitamcheat kutokana na uhalisia wa maisha na nyakati zake, huwa namkatalia katu katu lakini anakomalia kusema nakataa tu kuonesha kuwa sitofanya hvyo lakini muda ukifika itatokea tu kashajiandaa kisaikolojia mapema.
Kipindi chenyewe ni wakati wa ujauzito na uzazi baada ya kujifungua wenye ujuzi zaidi naomba mfafanue hili tafadhali liwasaidie na wengine.
Rahisi sana kuishi na mke akiwa na mimba, fuata masharti yote anayo kupa, tenga muda wa kutosha wa kuwa karibu naye, punguza marafiki wenye mtazamo tofauti, usijaribu kuwa na mchepuko kipindi hiki.
Siku ya kujifungua muombe daktari uwepo chumba cha kujifungulia. Utakapoona zile damu na maumivu anayopitia haki ya Mungu nakuapia kuanzia siku hiyo utaapa kwa miungu yako yote kuwa mke akitoka hapa salama hautamtenda kwa baya lolote. Hilo Agano linakuja automatikale na lina dumu sana. Pia mke anakuchukulia kama ni mtu mwenye upendo na unaye jali sana. Anajikuta anakupenda na kukuheshimu.

Kwanini uchepuke? Ile kitu kama haikuchanwa kuongeza njia ni siku tano tu na kama alichanwa ruhusu mwezi upite inakuwa tayari kwa matumizi halali ya nyumbani.

Muhimu:vaa condom kuepuka mimba na usinyonye maziwa maana utakuwa una dhurumu haki ya mtoto.
 
Ujue brod darling huwa tunachukulia uzinzi as if ni kitu tu unafanya afu kinapita: hakina madhara. Hapo siongelei hata kiroho; but people are suffering so much because of infidelity. Mtu anajisemesha tu ooh sio big issue: sio big issue mume kufungua zipu hovyo huko nje; sio issue kuletewa magonjwa, atu wanazaa nje (unaujua mziki wa blended families wewe nenda Mwanzo 21 ukayaone ya Sara a Hajiri), uchumi unaporomoka (income inatapanywa nje), kuna familia zinateseka huku baba anaweka heshima kwa michepuko, kurogana kama k. Zaidi ya yote it's an emotional torture kwa mke; wengine wanapata pressures na depressions. Kuna mdada alisimuliaga humu jinsi mama yao alivyokufariki kwa presha kisa mchepuko wa mume afu baada ya kufariki mume akaoa mchepuko; imagine hali ya watoto aliowaacha

Hakuna mwenye immunity ya kutocheat; hata mimi ninayejifaragua hapa; ni kwa neema tu. Lakini cheating inaanzia kwenye akili zetu mara nyingi tunakiri na kuona kwamba cheating is inevitable. Tena mtu akisema yeye hachepuki tunamuona mnafiki; so sad. So hata mahali ambapo tungeweza kusimama; sisi tunaona tushapata excuse ya kuchepuka. Tutachepuka tu sawa sawa na tunavyoamini akilini mwetu (aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo). Lakini ukiamua kuamini kuwa si lazima kila mtu achepuke; hata inapotokea sababu ya kukupush kwenye kuchepuka; you will still choose not to. Believe first. Mtu anayeamini hivi hata siku akichepuka na asifumaniwe; itamuumiza moyoni mwake mwenyewe kwa nini amemkosea Mungu wake na mkewe na atarekebisha mambo. (Hakunaga heshima kwenye kulala na mtu mwingine nje: eti achepuke tu ila aniheshimu; hiyo heshima ya wapi?). Hata mchepuko ukikuona unapita au unaita hubby unakuchekaje. Lakini wengi wetu mume akichepuka, hajutii wala haoni vibaya sana sana kesi inakugeukia; kwa nini unanichunguza; Shame

Binadamu haturidhiki; kila siku tuna desires mpya; kila siku tunakutana na watu wapya na tunawatamani (kwa kweli roho i radhi lakini mwili ni dhaifu). Lakini bado tunatamani tena na tena; so ukishajua no matter unatamani kiasi gani huwezi kuwalala wanawake wote unaowatamani; you simply decide to stick to your wife. Afu hata ukilala nao; ukishamaliza kuna nini cha ajabu? So unaamua tu kuwa mwaminifu
Binadamu haridhiki, umesema kweli yote. Mtu usipokuwa na self control utawamaliza na hakuna faida utapata zaidi ya kuleta mikosi, maradhi na kurudisha maendeleo ya familia nyuma. Turidhike na machaguo yetu, Jael katidhika na mimi[emoji39]
 
Umenena vema ila jua tu ya kwamba anachokitaka mwanaume kutoka kwa mwanamke hakipatikani kwa mwanamke mmoja. Unajua Mungu kaumba matunda ya kila aina (wanawake) ila tabu ya mlaji (mwanaume) anapenda kachumbari (wanawake tofauti tofauti)
Anachokitaka mwanamke pia hakipatikani kwa mwanaume mmoja. Hivyo unatushaurije?
 
Umenena vema ila jua tu ya kwamba anachokitaka mwanaume kutoka kwa mwanamke hakipatikani kwa mwanamke mmoja. Unajua Mungu kaumba matunda ya kila aina (wanawake) ila tabu ya mlaji (mwanaume) anapenda kachumbari (wanawake tofauti tofauti)
Hata nyie huwa mnatofautiana Sana Kuna wanaume ma handsome very caring, they know to listen, Wana f...k vizuri. So watu hutofautiana hyo kusema kwenu ni haki si kweli ka wewe sio handsome mkeo anakurana na handsome mzuri kuliko wewe. So na kumridhisha mtu Ni ngumu vile watu tumetofautiana even it's taste, Sasa nyie ubinafsi mnajihalalishia.
In short jua hata wewe mkeo anakuvumilia na sio kwamba una mridhisha, kuanzia kwenye tendo hata kifedha
 
Back
Top Bottom