Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Yani nisome unafiki sijui vumilia that's never to me, even sija mkuta ana cheat I must have many options apart from him aisee
Sasa kama wewe unakuwa na option ya mume wako unadhani Mumeo atakosa option kama tatu hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Comments zinatia hasira dah?
Kila nikisoma mtu kaandika samehe hamna mwanaume asiecheat nafyonza, kila nikisoma samehe kwa ajili ya watoto unahisi kupasuka kwa hasira.

Haijalishi tuna watoto 10. Ukicheat nikikukamata hamna msamaha. Hatima ya watoto itaamuliwa mahakamani, hao watoto acha wakue wakijua chanzo cha familia kusambaratika ni usaliti wa baba yao itawapa funzo watakapokuwa wakubwa. Eti nimvumilie mwasherati kisa nimezaa watoto? Yeye akinifumania hatovunja mahusiano kisa tuna watoto?
Kama unakwenda kuishi mwenyewe sawa.ila kama unakwenda kujaribu kitafuta mwanaume wa ndoto zako,my dear kunywa maji tu ulale.

Binafsi yupo mama namfahamu,na huwa namsifu kwa moyo wake wa chuma,alipogundua mzee amedaka mwanamke mwingine na amelowea huko,hata kazini anatafutwa,alimtema mbali na kuwa alikuwa na watoto wanne wadogo.

Mama huyo yupo mpaka leo maisha yananedelea na watoto wameshakuwa watu wazima kila mtu na maisha yake.
 
How is he correct ukirejea ushauri wako Kwa huyu dada?
Umemshauri achepuke halafu unakuja kuunga mkono ushauri huu
Ndio nimemshauri afanye hivo mtu kutoka nje ni kwamba amekuchoka, she no longer have feeling's for hubby, kwanini ajitese maisha yenyewe mafupi better find a strange person wakukidhi haja, hyo njia imesaidia wengi tu vile huku watu wanajifanya malaika eti usilipize, kwenye maisha huwezi samehe lipiza, wewe unajitahidi mwenzako anaruka kule na kule kah.
 
Comments zinatia hasira dah?
Kila nikisoma mtu kaandika samehe hamna mwanaume asiecheat nafyonza, kila nikisoma samehe kwa ajili ya watoto unahisi kupasuka kwa hasira.

Haijalishi tuna watoto 10. Ukicheat nikikukamata hamna msamaha. Hatima ya watoto itaamuliwa mahakamani, hao watoto acha wakue wakijua chanzo cha familia kusambaratika ni usaliti wa baba yao itawapa funzo watakapokuwa wakubwa. Eti nimvumilie mwasherati kisa nimezaa watoto? Yeye akinifumania hatovunja mahusiano kisa tuna watoto?
Bado una akilii za kitoto.. uki-kuwa mkubwa utaelewa...
 
busara Zaid inahitajika, ukifanya kosa la hivyo halina mjadala , unalamba talaka hapo hapo

[emoji41][emoji41]
Bora upate hyo kuliko uishi kinafiki ku furaisha watu huku ndani ya moyo kunawaka Moto. Mimi kitu kilichhonikera na ku cost furaha yangu automatic delete once I lose trust it's over, Kama before divorce I survived sembuse utu uzima?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu acha tuu kama amezoea kukupa nyampu daily akipata mimba uchovu na mood hanaa aisee mbona utatafuta mtu pembeni labda kama awe anajitumaa na kukupa mambo kama kawa

Alinieleza kwa mapana sana nilimpinga sana lakini naona kama kuna uhalisia. Alikiri naweza kufanya hvyo kwa siri sana bila kuonesha tofauti yeyote hadi yeye ajue lakin kashalikubali hilo ni heshima tu iwepo maana kweli kuna mda mapenzi na caring kwa asilimia kubwa vitahamia kwa watoto hasa miezi michache kabla na baada ya kujifungua. Ukweli mchungu huu nangoja nije niuone nithibitishe maana lisemwalo lipo kama halipo laja.
 
Silaha zao kuu ukiwa kinyume nao ni
1. Single mother
2. Stress
3. Feminist
Ni wanaume tu washindwa hoja hao hafu kuita mwanamke single mother ni ujinga sifa kuu ya mwanamke ni kuzaa awe single au sio single.
Kwanza huu Uzi wamevamia eti wanaume hawatulii sijui Nini blah blah ni haki yao, ingekuwa ni mwanaume mwenzao hapo wangeshamwambia afukuze haraka
 
Babe hatulipizi kisasi, kwani mkicheat huwa mnalipiza kisasi?[emoji85][emoji85][emoji85]
Hahaaa kiukweli wao wenyewe huwa hawaturidhishi kabisa wengi wanakuacha na hamu zako lakini unakuta wanahangaika huko nje. Jamani Mimi sioni shida mtu kutafta mridhisho popote pale bila kujali jinsia, binadamu ni ngumu kuridhika na kitu kimoja
 
Hivi huwa wanafikiri wao wanatutosheleza kwa kila kitu eeh? Ni vile tu tunawapenda na kuwaheshimu basi tunawalindia tu heshima. Wasijitoe ufahamu.
 
Mwanaume kuchepuka haina maana hampendi mkewe.. Sisi ni watu wa tamaa, kuna muda unaweza kuchepuka na mwanamke ambae humpendi kabisa na hata jina usimjue..

Ila kumuacha mume kisa kachepuka my dear hyo ni sawa na kukimbia mvua otherwise uamue kuishi peke yako..

Everywhere is raining the difference is SEASONS
 
Hahaaa kiukweli wao wenyewe huwa hawaturidhishi kabisa wengi wanakuacha na hamu zako lakini unakuta wanahangaika huko nje. Jamani Mimi sioni shida mtu kutafta mridhisho popote pale bila kujali jinsia, binadamu ni ngumu kuridhika na kitu kimoja
Katafute kuridhishwaa alafu talaka ikuhusu ukaridhishwee vizuriii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama wewe unakuwa na option ya mume wako unadhani Mumeo atakosa option kama tatu hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio vizuri kwanza tusizoeane Mimi nilitumia na wewe tulia bila hivo nikikukamata navunja kabisa mahusiano na sirudi nyuma hata Kama tumezaa watoto team ya mpira aisee, Bora niwe mzururaji Tena niwe na Uhuru. Maisha hayo na watoto tayari naweza fanya kazi kwanini niongeze stress za mtu mwingine.
 
Ni wanaume tu washindwa hoja hao hafu kuita mwanamke single mother ni ujinga sifa kuu ya mwanamke ni kuzaa awe single au sio single.
Kwanza huu Uzi wamevamia eti wanaume hawatulii sijui Nini blah blah ni haki yao, ingekuwa ni mwanaume mwenzao hapo wangeshamwambia afukuze haraka
Uwiii sipati picha ingekuwa mke ndio kacheat[emoji134][emoji134][emoji134]
Angeitwa majina yooote, ila hapa mwanaume anatetewa eti ndio ubinadamu huo. Kwani wanawake sio binadamu? Mbona wao wanajitahidi kuwatunzia heshima!!!
 
Hahaaa kiukweli wao wenyewe huwa hawaturidhishi kabisa wengi wanakuacha na hamu zako lakini unakuta wanahangaika huko nje. Jamani Mimi sioni shida mtu kutafta mridhisho popote pale bila kujali jinsia, binadamu ni ngumu kuridhika na kitu kimoja

Cariha kwa nini ukubali kuachwa na ugwadu, yani karne hii unakwichi na kukubali kabisa kuachwa katikati ya mlima? Ni lazima kuhakikisha umefikishwa/umefika top of mawenzi. Tafiti zinasema eti mwanamke asiyefika juu anakuwa na msongo wa hali ya juu, hata majukumu yake huwa hafanyi ipasavyo, so fika na hakikisha umefika kweli kweli.
 
Back
Top Bottom