Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Mie husema kama mtu anatakuwa na mke zaidi ya mmoja,Na mtu hupenda Mara moja
mie nitolewe kabisa kwenye hiyo hesabu watafutwe wakumtosha huko.
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Mie husema kama mtu anatakuwa na mke zaidi ya mmoja,Na mtu hupenda Mara moja
Duu watu walishajichokea na usalitiMshauri pia mwenzio kulialia mwisho mzenga hapa dar mbona Mbooho zipo nyingi tu.
@Heaven Sent maajabu mengine haya hapa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii mada bwana! tokea siku ile ya kwanza nilitaka kukoment nikaona nisome maoni ya wadau kwanza.
ndugu mleta mada nakupa neno la faraja kwa maana ya POLE.
maoni ya wenzetu mengi yanajitosheleza na unapaswa uyazingatie. muhimu ni kujipa muda nyakati ngumu zipite,na nyakati ngumu huwa hazidumu zinapita tena mapema mno.
nina ushuhuda wa ndugu yangu ama ndugu wa mzazi wangu, mume wake wakati alipokuwa vizuri kiuchumi aliweza kumchukua binti mdogo na kuwa nae kimahusiano. mwanzoni ilikuwa kama siri hivi lakini vile mapenzi yasivyo na siri yaliweza kujulikana.
kwa miaka kumi na nane mwana ume yule alitumia nguvu nyingi kuihudumia ile familia ya mama mdogo, waliweza kuzaa watoto 2 wa nje. yule mke mkubwa pamoja na kukosa huduma muhimu na malezi madogo kwa wanae ailivumilia ili kuinusuru ndoa yake.
leo hii yule mzee ameachana na yule mwanamke wa pili familia imerudiwa na amani ilio kua haipo miaka karibu 20, na hivi karibuni wanakaribia kufanya sherehe ya miaka 50 ya ndoa.
nimewahi kuandika hapa jamii forum nikazodolewa kweli na wadada wakileo, narudia tena kusema wanawake wasiku hizi ni wepesi sana wa kubeba mambo kama haya!! natoa ushauri tena warejeeni bibi zenu waulizeni waliweza kuishi vipi na wanaume zao miaka 50 mpaka 70 ya ndoa nawengine mpaka 80.
vitu kama hivi walikutana navyo san na hata hio nafasi ya kuombwa msamaha hawakuweza kuipata na maisha yakaenda.
nitoe tena mfano mdogo kwangu binfsi, niko kwenye ndoa mwaka wa nne sasa, mke wangu ni mzazi wa miezi 3 sasa,tokea alipokua mjamzito wa mwezi wa 7 aliniomba tusishiriki kwa sababu hayuko frii kufanya hivyo, tokea kipindi kle mpaka sas ni mwezi wa sita sasa sijakutana nae, na mpaka sasa kuna miezi 3 mbele ndio nijaribu hivyo kwa sababu ni uzazi wa upasuaji ambao kwa ushauri walao inatakiwa kukutana baada ya miezi 6.
sasa kwa mwana ume alie mkamilifu hapo utamwambia nini akuelewe miezi zaidi ya 6 no sex, mimi sijafanya chochote lakini si kawaida ya mwanaume kukaa hivyo!
asilimia kubwa ya cheating kwa mwana ume mwanamke ana mchango mkubwa sana, lakini kwangu hii sio hoja, hoja warejeleeni wazazi wenu waulizeniwaliishi vipi na wenza wao?
Wewe pia si ni ME...unataka kwenda sawa na nani?Ndo hivi dea, hawa wanaume ni kwenda nao sawa tyuuuh vile wanavotaka. Kmvn mbwai na iwe mbwai, wala hakuna kujali aaaaah
@Heaven Sent maajabu mengine haya hapa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ndio utaratibu walojiwekea binadamu na wameshauzoea sasa. Tena wako proud kabisa.Haya ndo uendelee kuwa na moyo wa kupondeka ili uje ufikishe miaka 50. In the meantime muache azae nje; wewe shindia tu majani kama mbuzi: watoto hata wakishindwa kwenda shule ni sawa tu: your top priority ni kucelebrate miaka 50. [emoji6][emoji6][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]. Hivi haiwezekani kufikia miaka 50 bila kuteseka kwa miaka 20?
Haya waendelee kukomaa na kuchuchumilia taji za anniversariesNdio utaratibu walojiwekea binadamu na wameshauzoea sasa. Tena wako proud kabisa.
Hongera mkuu, six months bila utam ni kifungo, the good thing is mnaependana. Kusingekuwa na upendo huenda ungeshindwa kuvumilia, usingeamua kwa dhati huenda ungeshakuwa na jiko dogo, but upendo hushinda yote na huvumilia yote.hii mada bwana! tokea siku ile ya kwanza nilitaka kukoment nikaona nisome maoni ya wadau kwanza.
ndugu mleta mada nakupa neno la faraja kwa maana ya POLE.
maoni ya wenzetu mengi yanajitosheleza na unapaswa uyazingatie. muhimu ni kujipa muda nyakati ngumu zipite,na nyakati ngumu huwa hazidumu zinapita tena mapema mno.
nina ushuhuda wa ndugu yangu ama ndugu wa mzazi wangu, mume wake wakati alipokuwa vizuri kiuchumi aliweza kumchukua binti mdogo na kuwa nae kimahusiano. mwanzoni ilikuwa kama siri hivi lakini vile mapenzi yasivyo na siri yaliweza kujulikana.
kwa miaka kumi na nane mwana ume yule alitumia nguvu nyingi kuihudumia ile familia ya mama mdogo, waliweza kuzaa watoto 2 wa nje. yule mke mkubwa pamoja na kukosa huduma muhimu na malezi madogo kwa wanae ailivumilia ili kuinusuru ndoa yake.
leo hii yule mzee ameachana na yule mwanamke wa pili familia imerudiwa na amani ilio kua haipo miaka karibu 20, na hivi karibuni wanakaribia kufanya sherehe ya miaka 50 ya ndoa.
nimewahi kuandika hapa jamii forum nikazodolewa kweli na wadada wakileo, narudia tena kusema wanawake wasiku hizi ni wepesi sana wa kubeba mambo kama haya!! natoa ushauri tena warejeeni bibi zenu waulizeni waliweza kuishi vipi na wanaume zao miaka 50 mpaka 70 ya ndoa nawengine mpaka 80.
vitu kama hivi walikutana navyo san na hata hio nafasi ya kuombwa msamaha hawakuweza kuipata na maisha yakaenda.
nitoe tena mfano mdogo kwangu binfsi, niko kwenye ndoa mwaka wa nne sasa, mke wangu ni mzazi wa miezi 3 sasa,tokea alipokua mjamzito wa mwezi wa 7 aliniomba tusishiriki kwa sababu hayuko frii kufanya hivyo, tokea kipindi kle mpaka sas ni mwezi wa sita sasa sijakutana nae, na mpaka sasa kuna miezi 3 mbele ndio nijaribu hivyo kwa sababu ni uzazi wa upasuaji ambao kwa ushauri walao inatakiwa kukutana baada ya miezi 6.
sasa kwa mwana ume alie mkamilifu hapo utamwambia nini akuelewe miezi zaidi ya 6 no sex, mimi sijafanya chochote lakini si kawaida ya mwanaume kukaa hivyo!
asilimia kubwa ya cheating kwa mwana ume mwanamke ana mchango mkubwa sana, lakini kwangu hii sio hoja, hoja warejeleeni wazazi wenu waulizeniwaliishi vipi na wenza wao?
Kuvumilia hayo yote mpaka uwe na akili ya kufanana nayo maisha yenyewe mafupi hivi nikaikose mbingu kwa upuuzi wa mtu mmoja eti navumilia aende tu na asirudi nyuma! Eti kala raha zote mie nakufa na genye zangu eti kachoka huko aniletee marapu rapu yake daa, Mungu anisaidie sana huo moyo ulio pondeka, ila simsemei mtu kila mtu huoana na wakufanana naye.Haya ndo uendelee kuwa na moyo wa kupondeka ili uje ufikishe miaka 50. In the meantime muache azae nje; wewe shindia tu majani kama mbuzi: watoto hata wakishindwa kwenda shule ni sawa tu: your top priority ni kucelebrate miaka 50. [emoji6][emoji6][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]. Hivi haiwezekani kufikia miaka 50 bila kuteseka kwa miaka 20?
Walivumilia kwasababu hawakuwa na pakusemea, halafu nikwambie wamamaWavumilie tu. Mama zetu walipata shida hizo wakavumulia na ndoa kudumu
Chepuka ila siku mkeo akijua usitujie na kamasiso kwa wale wenye nguvu ni sawa kuchepuka?
Kabisaaaaah dea yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akasuuze koo lililobanwa na kwikwi haaa haaa
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
[emoji848]View attachment 1524295
Umeshasema n zamani na sio sasa, hebu tupishe hukoo bandiko lefu afu una andika utopolo wa zama za mababu, wakati tupo zama za wajukuu,hii mada bwana! tokea siku ile ya kwanza nilitaka kukoment nikaona nisome maoni ya wadau kwanza.