Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 934
Salam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada
Wakuu nina demu wangu yapata sasa miezi minne kabila lake ni Mjita
Kiuhalisia hana shida kwani ananifanyia kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa kumfanyia mwanaume
Lakin kuna tabia moja naona imeanza kunichosha
Demu ni mbabe mbabe haswaa
Ana kauli za kibabe mpaka kuna muda nakaa najilaumu
Mkipishana kidogo utasikia '' Yaani mimi kuachwa wala hata siwazi'' au "ww kama hunitaki niambie hata sasa hivi"
Nishamuonya sana anadai atabadilika baadae tena unakutana na hali ile ile
Kuna muda unaweza ukamuuliza kitu hilo jibu utakalokutana nalo likakupandisha hasira
Kuna siku tulipishana kidogo akaanza kudai tuachane mara tafuta mwanamke mwingine nikamuuliza "unamaanisha" akajibu "ndiyo" nikaitikia "sawa" na nikampotezea cha ajabu anakuja kunitafuta anasema alipitiwa
Demu ukimuita utasikia anaitika oyoo
Kuna muda ananiita Chalii
Mpaka kuna muda nahisi au ndo ile kaliba ya matomboy au labda malez aliokulia
Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanawake wa hivi