Ndo hapo sasa na yeye akatafute ladha na style zingine nje km wao wanavodai.Sio nyie huwa mnasema kuchepuka kunaleta heshima ya ndoa? Mnaonaje nae akaitafuta hii heshima?
Ila bhana mwanamke akikupenda sana afu ukaja ukamzingua aisee kurudisha moyo wake nyuma kuanza kukupenda kama awali inakuwa ngumu mno aisee..!!
Skia best chamsingi ww sahau tuu japo ni ngumu ila sahau maisha ya endelee wanaume uwa tunatelezaga mda mwingine ww msamehe tuu ila jamaa nae alikuwa anacheat kwnn asikuheshimu kwnn asifiche ww msamehe tuu...
Acha uashereti.Relax bibie... Uki-kuwa utaelewa.
Ndo hapo sasa na yeye akatafute ladha na style zingine nje km wao wanavodai.
Ujue brod darling huwa tunachukulia uzinzi as if ni kitu tu unafanya afu kinapita: hakina madhara. Hapo siongelei hata kiroho; but people are suffering so much because of infidelity. Mtu anajisemesha tu ooh sio big issue: sio big issue mume kufungua zipu hovyo huko nje; sio issue kuletewa magonjwa, watu wanazaa nje (unaujua mziki wa blended families wewe nenda Mwanzo 21 ukayaone ya Sara a Hajiri), uchumi unaporomoka (income inatapanywa nje), kuna familia zinateseka huku baba anaweka heshima kwa michepuko, kurogana kama k. Zaidi ya yote it's an emotional torture kwa mke; wengine wanapata pressures na depressions. Kuna mdada alisimuliaga humu jinsi mama yao alivyofariki kwa presha kisa mchepuko wa mume afu baada ya kufariki mume akaoa mchepuko; imagine hali ya watoto aliowaachaMada za hivi lazima apite na gazeti haha, nahisi anauchukia udhindhi sana[emoji23][emoji39]. Ilà hakuna kitu kigumu kama kudumu ndoani na mtu mmoja bila kutwanga nje. Mungu atupe subra..[emoji23]
Haya ya ubikra hayahusu hapa, mumewe kacheat, na yeye akatafute furaha pale pengine anapohisi pana faa. Km alivyofanya mumewe kwan kutoka nje ya ndoa.Labda atuambie wakati wanaoana walikutana mabikra!?
Heshima ya kutiwa mimba na wanaume tofauti? Alafu mimi sicondone cheating kwa jinsia zote don't get it twisted. Kama kashindwa kusamehe kila mtu afuate njia yake ila kwenda kufunuliwa sketi na kutiwa mimba sio sahihi, hivi itakuaje akiolewa tena na huyo mwanaume akacheat? akatiwe mimba nyingine tena? na watatu? na wanne? Yaani una watoto nane na wote baba tofauti 😂. Narudia kusema unajikomoa mwenyewe mwisho wa siku uanze kusema all men are the same mara wamenitelekeza kumbe akili zako ndo zimekufikisha hapo ulipoSio nyie huwa mnasema kuchepuka kunaleta heshima ya ndoa? Mnaonaje nae akaitafuta hii heshima?
Jamaniiiiih dea unatoa hoja murua sanaaah, plz njoo nikupe zawadiiiiih. [emoji7][emoji7][emoji7]Ujue brod darling huwa tunachukulia uzinzi as if ni kitu tu unafanya afu kinapita: hakina madhara. Hapo siongelei hata kiroho; but people are suffering so much because of infidelity. Mtu anajisemesha tu ooh sio big issue: sio big issue mume kufungua zipu hovyo huko nje; sio issue kuletewa magonjwa, atu wanazaa nje (unaujua mziki wa blended families wewe nenda Mwanzo 21 ukayaone ya Sara a Hajiri), uchumi unaporomoka (income inatapanywa nje), kuna familia zinateseka huku baba anaweka heshima kwa michepuko, kurogana kama k. Zaidi ya yote it's an emotional torture kwa mke; wengine wanapata pressures na depressions. Kuna mdada alisimuliaga humu jinsi mama yao alivyokufariki kwa presha kisa mchepuko wa mume afu baada ya kufariki mume akaoa mchepuko; imagine hali ya watoto aliowaacha
Hakuna mwenye immunity ya kutocheat; hata mimi ninayejifaragua hapa; ni kwa neema tu. Lakini cheating inaanzia kwenye akili zetu mara nyingi tunakiri na kuona kwamba cheating is inevitable. Tena mtu akisema yeye hachepuki tunamuona mnafiki; so sad. So hata mahali ambapo tungeweza kusimama; sisi tunaona tushapata excuse ya kuchepuka. Tutachepuka tu sawa sawa na tunavyoamini akilini mwetu (aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo). Lakini ukiamua kuamini kuwa si lazima kila mtu achepuke; hata inapotokea sababu ya kukupush kwenye kuchepuka; you will still choose not to. Believe first. Mtu anayeamini hivi hata siku akichepuka na asifumaniwe; itamuumiza moyoni mwake mwenyewe kwa nini amemkosea Mungu wake na mkewe na atarekebisha mambo. (Hakunaga heshima kwenye kulala na mtu mwingine nje: eti achepuke tu ila aniheshimu; hiyo heshima ya wapi?). Hata mchepuko ukikuona unapita au unaita hubby unakuchekaje. Lakini wengi wetu mume akichepuka, hajutii wala haoni vibaya sana sana kesi inakugeukia; kwa nini unanichunguza; Shame
Binadamu haturidhiki; kila siku tuna desires mpya; kila siku tunakutana na watu wapya na tunawatamani (kwa kweli roho i radhi lakini mwili ni dhaifu). Lakini bado tunatamani tena na tena; so ukishajua no matter unatamani kiasi gani huwezi kuwalala wanawake wote unaowatamani; you simply decide to stick to your wife. Afu hata ukilala nao; ukishamaliza kuna nini cha ajabu? So unaamua tu kuwa mwaminifu
Haya ya ubikra hayahusu hapa, mumewe kacheat, na yeye akatafute furaha pale pengine anapohisi pana faa. Km alivyofanya mumewe kwan kutoka nje ya ndoa.
Akikuelewa hapa..ataenda kuishi maisha ya furaha,upendo na amani.na atakuja kushukuru siku moja.kwanza elewa tuu sisi wanaume hatujaumbiwa mwanamke 1.kumbuka pia hata akicheat nje mapenz kwako hayataisha wala hatapunguza matumiz na watoto watasoma.ndio udhaifu tulio nao km nyie pia mna udhaifu wenu ingawa hamjielewi.unachofanya au kukosea ni kukosa apetite na huyo mmeo hilo ni kosa cha msingi wee mbadilishie style zile ambazo hamjawai kufanya yaani kiufupi ubadilike na usimtuhumu kwa chochote au kuonyesha hisia mbaya.mpende hivyo hivyo mpikie chakula kizuri umkaribishe kwa unyenyekevu badili mazingira yote ya mazoea!mfanye aone nyumbani ulipo wewe ni vantage point yake akute vitu ambavyo tofauti na anapochepukia na sio kumfanya ajione dhaifu kwa tuhuma unazompa.yaani mfanyie vitu ambavyo ataona siku zote alikuwa wapi kukufahamu.sisi wanaume akili yetu ndogo kututeka ni rahisi mno km kumpiga teke chura.soma hata majarida au tafuta watalam wakueleweshe jinsi ya kumkamata mume ili miaka yote aone hakuna mke km wee na sio kuonyesha chuki wazi waz au kuzira
100% trueKibinadamu ni hali ya kawaida sana kwa yanayokutokea
Usaliti si mzuri na mbaya zaidi tayari ulishamiweka kwenye kundi flani hivi, kuna namna ambavyo ulikuwa unamuona na kuna viwango flani ulimpa, hauwezi kumuona kama zamani kamwe hii haitatokea
Sasa utakubaliana na ule msemo ‘’ndoa ni kwa ajili ya watoto’’
Kila binadamu akisalitiwa kisamehe ni ngumu au inakuwaga unafiki tu ukizingatia wewe hujawahi kumsaliti hapa ndiyo uwezi kabisa kusamehe
Kinachokutokea sasa ni kwamba hauamini tena kwenye true love na hautakuja kuamini, when you caught him cheating he made you doubt love
Suruhu sasa baada ya muda utapona lakini utakuwa unaamini ndoa ni kwa ajili ya watoto na tendo la ndoa utafanya tu kibaolojia kwa kuwa mwili unaihitaji
MAISHA SAFARI
Ndo na yeye akatafute furaha na amani pengine ambapo yeye anahisi itakua sawa kwake. Sio kuishi kwan maumivu na mateso kisa uvumilivu, 4 whaaat? KhaaaaahSasa kama hawakuwa mabikira si inamaana walishindwa kuwa waaminifu utotoni/ujanani mwao,sema hapo wamezidiana hafu inawezekana mdada aliikamia ndoa kishenzi kama dabi ya kariakoo
ALL MEN cheats
Jamaniiiiih dea unatoa hoja murua sanaaah, plz njoo nikupe zawadiiiiih. [emoji7][emoji7][emoji7]