Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

We mwache tu akikatili, sie twaendelea kufaidi.

Yaani katika watu ambao sijawahi kuwaonea wivu maishani mwangu ni watu walio mapenzini yaani tena ndiyo kwanza huwa nawafurahia na nawapongeza but wala hawajawahi kunimotivate kuwa kwenye mahusiano! I think i’m just a more complicated kind of introvert!
 
Aisee hongera na pole. Huenda umechagua fungu jema zaidi, unapeuka maradhi pia. Ilà don't tell me utabaki hivyo for good.

It’s gonna be for good i guess! God help me!
After all I don’t deserve to be anyone’s
 
Yaani katika watu ambao sijawahi kuwaonea wivu maishani mwangu ni watu walio mapenzini yaani tena ndiyo kwanza huwa nawafurahia na nawapongeza but wala hawajawahi kunimotivate kuwa kwenye mahusiano! I think i’m just a more complicated kind of introvert!
Teh teh teeeeeh!
 
Teh teh teeeeeh!
Ndugu mjumbe nilikuwa busy na biriani kuna nini hapa?
IMG_20200731_154012.jpg
 
Basi inawezekana na mimi hizi hasira nilizonazo ni sababu ya kukosa naniliu enh? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila hapana mimi napenda kusafiri tu nikikaa sehemu moja muda mrefu bila kubadili mazingira ndiyo huwa napatwa na hasira za hovyo hovyo na nikifulia ndiyo kabisaaa nakuwaga kama chui! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekosa nanilii kwa mda gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]unazingua Zoë, mbona tayari wanaanza hii tabia vidume wanakimbia kabisa. Kuna tofauti gani na kuambiwa, "mimi nataka mtoto tu kwako, mengine nitafanya mwenyewe". Yani hili bandiko nimelibeba kama lilivyo na linasadifu maisha tunayoishi leo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we haya tu kaka, kumbuka pia kuna andiko linasema “unabii hauna budi kutimia lakini ole wake autimizaye unabii huo”.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hata wewe jichunguze vizuri, huenda ikawa ni sababu kubwa. Kusafiri na kufulia zitakuwa sababu za ziada tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka upate mwanaume wako peke yako? Asiye cheat? Anayeridhika na mwanamke mmoja? Labda wa ndotoni
Hii kitu nimekuja kuielewa kwa kuchelewa sana..... Nilikuwa nashangaa .... Inawezekanaje? Kumbe ndivyo ilivyo. Tukubali tukatae. Huu ndio Ukweli MCHUNGU.
 
Kwahiyo mjumbe ndio umeamua kunidolishia si ndio?

Huku kuna kikao cha wanawake, tunajaribu kuokoa hii ndoa inayoelekea kupangaranyika. Ni nini maoni yako ndugu mjumbe?
Kwani hampi mahela mengi?
Mwanaume ukimkamata amecheat wanakimbiliaga kutoa mahela mengi.
Yeye hajaombwa msamaha hata na kipasso?
 
Mwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.

Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.

Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.

Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.

Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.

Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.
Kwanza pole sana kwa kuumiza moyo wako pasi na sababu genuine, ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba mumeo pamoja na kukuomba msamaha Sana ila haitakuwa mwisho wa kucheat, ataendelea kucheat tu labda mbinu tu ndo itabadilika kuwa bora zaidi kuliko mwanzo!

Na kama utaamua kuiacha ndoa yako kwa sababu tu mumeo amecheat, basi kuwa na uhakika kabisa baada ya muda fulani kupita utaanza ku-date mume/waume za watu ambao wake zao wakijua hawatawaacha waume zao zaidi zaidi watahakikisha wewe unaachana na waume zao

Utakapokumbuka kurudi kwa mumeo baada ya mateso ya kihisia kutokana na kudate waume za watu,mumeo atakuwa alishaoa mke mwingine ambaye hatakuwa tayari kumuacha mume wako kwa sababu zozote zile, kitakachofuata ni wewe kuuzeeka ukiwa mpweke na mwenye kutamani siku zirudi nyuma Ila haitawezekana tena!
 
Yani natamani Likueleweee mkuu sema ndo yakishapanic yanafanyaa ujingaa tuuu kuhisi wanamkomoa mwanaumee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee ngoja hataamini
Kwanza pole sana kwa kuumiza moyo wako pasi na sababu genuine, ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba mumeo pamoja na kukuomba msamaha Sana ila haitakuwa mwisho wa kucheat, ataendelea kucheat tu labda mbinu tu ndo itabadilika kuwa bora zaidi kuliko mwanzo!

Na kama utaamua kuiacha ndoa yako kwa sababu tu mumeo amecheat, basi kuwa na uhakika kabisa baada ya muda fulani kupita utaanza ku-date mume/waume za watu ambao wake zao wakijua hawatawaacha waume zao zaidi zaidi watahakikisha wewe unaachana na waume zao

Utakapokumbuka kurudi kwa mumeo baada ya mateso ya kihisia kutokana na kudate waume za watu,mumeo atakuwa alishaoa mke mwingine ambaye hatakuwa tayari kumuacha mume wako kwa sababu zozote zile, kitakachofuata ni wewe kuuzeeka ukiwa mpweke na mwenye kutamani siku zirudi nyuma Ila haitawezekana tena!
 
Teh teh teeeeeh!

Najua siaminiki ila Mungu shahidi yangu! Katika asilimia 100 ya mawazo yangu mapenzi sijui niyape asilimia ngapi yaani najikutaga nina vitu vingine vingi tu vya kuwaza kuliko mapenzi hivyo hata nikiwa na mwanaume nahisi nitamuonea bure tu mtoto wa watu maana sitakuwa na muda naye nisiwe muongo!
 
Kwani hampi mahela mengi?
Mwanaume ukimkamata amecheat wanakimbiliaga kutoa mahela mengi.
Yeye hajaombwa msamaha hata na kipasso?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekumbuka ndugu yangu.
Mume wake alicheat Live Live wakati wapo Beach kigamboni wenye Beach wakawa wanashoot tangazo.
Mara paap tangazo kwenye dstv na Congo pale kwenye screen [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Lakini hadi leo wako wote.
Muda ni wakati mzuri.
 
Rejea mada husika.
Then rejea comment yako ,umesema unalipa kisasi.nikakuuliza unamkomoa nani?

Halafu jibu unalosema saivi kuwa mwanamke ndo anaumia .nani kasema hivyo??
Hebu soma comment angu vizuri na kwa umakini avha kukurupuka, sawaaaah eeeeh?
 
Back
Top Bottom