amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Nitakupikia, nitakuletea.Mambo gani haya Amu..hujui sina pesa [emoji41], kuongezeana budget huku
Nitakupikia, nitakuletea.Mambo gani haya Amu..hujui sina pesa [emoji41], kuongezeana budget huku
vipi wewe unawajua vizuri?? [emoji2][emoji2][emoji2]Muache ajipe moyo, hawajui vizuri wanaume huyu, wao wanaua huku wana kulambisha asali unakuja shituka damu inatoka shingoni, unabaki kutoa kilio cha haja.
wanasema ukiwa mstaarabu mwanamke anakuona falaThis is so real mkuu, Sijawahi kuelewa mwanamke ukimpa nafasi 100% anaanza mapozi ya kijinga mara akunyime chiu.
Ataanza kuku dharau na kukuchukulia poa wengine wataenda mbali zaidi mwisho ataanza kuwa na secret affairs na majamaa wengine nje huko.
Ila utashangaa mwanamke huyo huyo akipata mwanaume wa kumcheat atalalamika kana utafikiria kafukuzwa duniani.
Uzi umeishia hapa. Nimekosa cha kuongezea.Pole sana mamii,
Your kids comes first, ni hali ambayo almost kila mwanamke analipitia au ameshaipitia ndani ya ndoa yake,
Tofauti ni mapokeo tu, kila mtu kuna namna anavyolipokea jambo fulani na kulikubali au kutokulikubali
Kama ulivyosema ameomba msamaha, take as much time as you can na ujaribu kukubali huo ukweli, samehe, focus, maisha yaendelee,
Ukiwaza sana utajiumiza, kumbuka mna watoto wawili, labda tu nikwambie ALL MEN cheats, wametofautiana tu style ya kucheat, wengine wakecheat wanafanya siri sana hata mke hajui wala haonyeshi tofauti yoyote nyumbani, ila wengine wakianzisha mahusiano nje unagundua maana everything change for worse
Usithubutu kuwaza kuanzisha mahusiano nje, utakua unaharibu zaidi ukizingatia watoto wanahitaji mwongozo wako
Jaribu kumwomba Mungu akupe amani ya moyo,uweze kusamehe na kusahau kabisa.
Otherwise, nakupa pole sana
Tena kipara nusu atoe damu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
bora awe bachelor hahaha na wanaume waliooa ndo wanaongoza kuchepuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had basi yaan wee acha tyuuuh, khaaaah eti n nature ya mwanaume kuchepuka, sasa why anaoa? Si awe bachelor ili awapange hao demuz km njugu.
Sio kuwapa maumivu na mateso viumbe wa watu khaaaaaah, wanakera mnoooh
so kwa wale wenye nguvu ni sawa kuchepuka?Wao wakisalitiwa wanavyotia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzi zao
Wengine hata nguvu hawana wapo hapa wanajishaua,, 'mwanamke mmoja hatoshi'' (ukisoma hapa Soma kwa sauti ya puani)
Maisha yetu magumu sana Zoë, basi tu tuzidi kujifariji wengine...
Ukweli mchungu upi hapooh khaaaahwanasema ukweli ni mchungu
Nawajua vilivyo haswaaaaaahvipi wewe unawajua vizuri?? [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan weew acha tyuuuuh[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Ndo dawa yake kisasi tyuuuhbora awe bachelor hahaha na wanaume waliooa ndo wanaongoza kuchepuka
wanasema ukiwa mstaarabu mwanamke anakuona fala
Yaani fuatilia hata wanaume wengi wenye tezi dume ukirudi nyuma wengi wao ni wale wazinzi mno, hawasemagi tu ukweliAcha Uzinzi ni kujiendekeza na kutokuwa na kazi za kutosha unapata muda wote huo wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja.Wanaume wanaochiti wanakuwa maskini,wanakuwa na magonjwa yasiyoeleweka na kiroho hawaishi muda mrefu katika ulimwengu huu .Chunguza na wewe mwenyewe unayechti jichunguze na sio wanaume tu hata wanawake.Mnajiingizia maroho msiyoyajua kwenye miili yenu iliyo safi.Mungu alimwumba mwanamke na mwanaume basi.
Watetezi wote ni wale wale tu, wazee wa mirupoNa wazinzi humu wamemtetea mno loh, Hawa wanaume ni jipu wa kupuuzwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akasuuze koo lililobanwa na kwikwi haaa haaaNdo maan na sisi tuna mshauri atafute furaja na amani nje, pasipo kuathiri familia take, mbna simple tyuuuh.
Kwahiyo wewe kila mwanamke akiwa na mavazi yasiyo na staha unategeka?Nyie mlifanya hivyo ni hasara yenu wenyewe!
Hata hivyo wanawake mnatunyanyasa Sana...siyo kwa uvaaji mnaovaa siku hizi I see! Tunajikaza Sana Ila huku mtaani wanaume tunategwa mitego ya Kila aina! Na kwa kweli tunajitahidi Sana kukwepa! Naomba wake zetu mtuelewe, muambizane na wanawake wenzenu wanayofanya sio poa! Hizi nguo za kuwashika na kutuachia fahari ya macho jamani mmh! Ndio maana ulinzi kutoka kwenu no muhimu! Ukishindwa kumlinda ndio hivyo Tena...usikimbie lindo kwa kutaka kufanya matukio...hapo ndio utaharibu zaidi...!